WAKALA WA UKAGUZI WA MADINI WAPONGEZWA KWA KUOKOA MABILIONI
Afisa Habari wa Wakala wa Ukaguzi wa Madini nchini (TMAA), Mhandisi Yesambi Shiwa (Kulia) akitoa maelezo juu ya utendaji kazi wa TMAA kwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Hab Mkwizu (Kushoto) wakati alipotembelea kwenye Banda la TMAA wakati wa Maadhimisho ya Utumishi wa Umma katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
Mashine ya kisasa ya kupimia ubora wa sampuli za madini ikioneshwa kwenye Banda la TMAA wakati wa Maadhimisho ya Utumishi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima28 Oct
‘Serikali kuokoa mabilioni sekta ya maji’
WAZIRI wa Maji Prof. Jumanne Maghembe, amesema serikali itaokoa mabilioni ya fedha iliyokuwa ikitumia kuagiza mabomba ya kuweka miundombinu ya maji kutoka nje, kwa vile hivi sasa yanapatikana hapa nchini....
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Madini na Ujenzi: TMAA yaamka sasa, yakusanya mabilioni ya kodi
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_abOajkhPjQ/VcfT2RA3IJI/AAAAAAAHvj0/AcubMiexSRk/s72-c/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
MAFUNZO KWA WACHIMBAJI WA MADINI KUHUSU MATUMIZI YA HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO — KANDA YA ZIWA NYASA- SONGEA (7/8/2015) NA TUNDURU (9/8/2015)
![](http://4.bp.blogspot.com/-_abOajkhPjQ/VcfT2RA3IJI/AAAAAAAHvj0/AcubMiexSRk/s640/unnamed%2B%25281%2529.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-d7v1cce0SPg/VHVi5vJB2sI/AAAAAAAGzdY/76ipg3Cvvs0/s72-c/unnamed%2B(13).jpg)
Kamishna wa Madini afungua mafunzo ya uongezaji thamani madini kwa wanawake.
10 years ago
Habarileo13 Jul
Amina, Migiro wapongezwa kwa kuthubutu
MTANDAO wa Wanawake na Katiba na Uchaguzi (T-WCP/ Ulingo), umepongeza wanawake wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), waliothubutu kuomba uteuzi wa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kufikia ngazi ya uteuzi wa mwisho.
10 years ago
Habarileo04 Oct
Wananchi Kahama wapongezwa kwa miradi ya maendeleo
KIONGOZI wa mbio za Mwenge, Rachel Kassanda amewapongeza wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama kwa kuibua miradi mbalimbali ya maendeleo yenye lengo la kupiga vita umasikini.
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Wanadiaspora wapongezwa kwa kusaidia gurudumu la elimu Zanzibar
![](http://4.bp.blogspot.com/-YH3kiVZRUhY/Vd26s5x8YRI/AAAAAAAAT34/BUWUW7Km894/s1600/HAJI.jpg)
Yahya Ame kulia, akionesha makala ya kitabu. Na Abou Shatry Washington DC Jumuiya ya Wazanzibari waishio Nchini Marekani (ZADIA), imepongezwa kwa kusaidia gurudumu la maendeleo ya Elimu visiwani Zanzibar. Pongezi hizo zimetolewa na Mkurugenzi wa Elimu ya Juu Zanzibar Bw. Suleiman Yahya Ame wakati wa kupokea mchango wa vitabu vya Ufundi na Mafunzo ya Amali uliotolewa na ZADIA kwa ajili ya shule za ufundi visiwani humo. Akizungumza kama mgeni rasmi...
11 years ago
Dewji Blog19 Jun
SEMA Singida wapongezwa kwa kuelimisha tabia nchi
Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi,akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa ugawaji wa vifaa vya kuongeza uwajibikaji katika kuhimili mabadiliko ya tabia nchi wilayani humo.Kulia ni meneja wa shirika la SEMA, Ivo Manyaku.Kushoto ni mwenyekiti wa kijiji cha Kinyagigi.
Na Nathaniel Limu, Singida
SERIKALI wilaya ya Singida, imelipongeza shirika lisilo la kiserikali la mpango endelevu wa uboreshaji mazingira (SEMA), kwa hatua yake ya kuanza kuelimisha wakulima mbinu bora za kupambana na...
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
Wakulima wapongezwa kwa kupanua kilimo cha mazao ya chakula
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa chanjo kimkoa,iliyofanyika katika kijiji cha Mtinko jimbo la Singida kaskazini.
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa Mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone amewapongeza wakulima kwa kuongeza juhudi ya kupanua kilimo cha mazao ya chakula na biashara msimu huu ikilinganishwa na misimu iliyopita.
Dk.Kone ametoa pongezi hizo wakati akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa chanjo kimkoa,iliyofanyika katika...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10