SEMA Singida wapongezwa kwa kuelimisha tabia nchi
Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi,akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa ugawaji wa vifaa vya kuongeza uwajibikaji katika kuhimili mabadiliko ya tabia nchi wilayani humo.Kulia ni meneja wa shirika la SEMA, Ivo Manyaku.Kushoto ni mwenyekiti wa kijiji cha Kinyagigi.
Na Nathaniel Limu, Singida
SERIKALI wilaya ya Singida, imelipongeza shirika lisilo la kiserikali la mpango endelevu wa uboreshaji mazingira (SEMA), kwa hatua yake ya kuanza kuelimisha wakulima mbinu bora za kupambana na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog03 Dec
UN, Serikali zataka vijana kuongoza katika kukabili mabadiliko tabia nchi Singida
Mkuu wa wilaya ya Ikungi, Chigulu Charles akitoa neno la ukaribisho kwa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez aliyeambatana na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Parseko Kone katika ziara ya kukagua miradi inayofadhiliwa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa mkoani Singida.
Na Modewjiblog team, Singida
MRATIBU wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi mkazi wa Shirika la Mipango ya Maendeleola umoja huo (UNDP)...
10 years ago
Dewji Blog13 Mar
SEMA Singida kutumia Milioni 80 kuwapiga msasa waratibu wa elimu mikoa ya Singida na Dodoma
Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Singida, Aziza Mumba, akizungumza kwenye ufunguzi wa mafunzo ya zana za ukaguzi na ufuatiliaji wa huduma za maji, elimu na usafi wa mazingira shuleni yaliyohudhuriwa na waratibu kata na walimu wakuu wa shule za msingi manispaa ya Singida. Kulia ni Meneja wa SEMA, Ivo Manyanku na Kushoto ni mwenyekiti wa mafunzo hayo.
Baadhi ya waratibu na walimu wakuu wa shule za msingi manispaa ya Singida,waliohudhuria mafunzo ya zana za ukaguzi na ufuatiliaji wa huduma za...
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA SEMA LATOA ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA KWA ASKARI POLISI WA MKOA WA SINGIDA
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Wandili wa SEMA ajitosa kuwania ubunge jimbo la Singida mjini kwa tiketi ya ACT
Mfanyakazi wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA mkoani Singida, Jeremiah Paul Wandili, (katikati) akitangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Singida mjini kupitia tiketi ya ACT Wazalendo. Kulia ni Mwakilishi wa mwenyekiti wa ACT Wazalendo mkoa wa Singida, Peter Mkenyi na kushoto ni Mratibu wa harakati za Wandili za kugombea jimbo Peter Lisu.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
KIJANA mfanyakazi wa Shirika lisilo la kiserikali la SEMA Singida Mjini, Jeremiah Paul Wandili...
5 years ago
MichuziWANANCHI SINGIDA WALIPONGEZA SHIRIKA LA SEMA KWA UTOAJI ELIMU YA KUJIKINGA VIRUSI VYA CORONA
Amani Twaha, akitoa elimu.
Elimu ikitolewa kwa wasafisha viatu.
Witness Anderson, akitoa elimu kwa muuza mitumba.
Ipyana Mwakyusa akitoa elimu hiyo kwa madereva wa bajaj.
Mary Kilimba (kulia) na Veronica Peter wakitoa elimu hiyo kwa njia ya mabango.
Wananchi wakiwa wamevaa barakoa kujikinga na Corona.
Tatu Muna, akizungumzia kuhusu Corona.
Maafisa wa Shirika lisilo la Kiserikali la Sustanable Environment Management Action (SEMA) la Mkoa wa Singida, Mary Kilimba (kushoto) na Veronica ...
5 years ago
MichuziSHIRIKA LA SEMA LATOA MAFUNZO YA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA CORONA KWA WASAIDIZI WA KISHERIA ILONGERO MKOANI SINGIDA
9 years ago
Dewji Blog26 Dec
Shirika la SEMA mkoani Singida lachangia vifaa vya afya kwa wahudumu 43 wa afya ngazi ya vijiji na mitaa
Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA mkoani Singida, Ivo Manyaku, akizungumza kwenye hafla ya makabidhiano ya vifaa mbalimbali vikiwemo miavuli vyenye thamani ya zaidi ya shilingi 6.5 milioni vivyogawiwa kwa wahudumu wa afya ngazi ya vijiji na mitaa manispaa ya Singida. Kulia ni Mganga mkuu halmashauri ya manispaa ya Singida, Dk John Mwombeki.
Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA mkoani Singida, Ivo Manyaku, akimkabidhi Mganga Mkuu halmashauri ya manispaa ya Singida, Dk...
11 years ago
MichuziMAFUNZO YA TABIA NCHI KWA WATAALAMU YAFUNGULIWA MKOANI MOROGORO