MAFUNZO YA TABIA NCHI KWA WATAALAMU YAFUNGULIWA MKOANI MOROGORO
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava (kushoto) akifungua rasmi mafunzo yanayowakutanisha wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yanayoendelea mjini Morogoro. Aliyekaa upande wa kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa Mazingira kutoka Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Gidion Kasege.
Mmoja wa wawezeshaji Profesa Pius Yanda kutoka Kituo cha Taaluma ya Mabadiliko ya Tabianchi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMAMLAKA YA HALIYA HEWA YAANZA KUTOA ELIMU YA MABADILIKO YA TABIA NCHI KWA SHULE ZA SEKONDARI MKOANI DODOMA
5 years ago
MichuziCHUO CHA KILIMO MATI ILONGA MKOANI MOROGORO CHAPANUA WIGO WA UTOAJI MAFUNZO KWA VITENDO
Shamba la migomba la chuo hicho.
Mratibu wa Masomo na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Felix Mrisho (kulia), akizungumzia teknolojia ya kilimo kwa kutumia kitalu nyumba wanayoiendesha kwa kushirikiana na Shirika la Sustainable Agriculture Tanzania (SAT).
Mkuu wa Idara ya Usindikaji chuoni hapo, Moses Chavala, akielezea namna wanavyotoa mafunzo ya usindikaji.
Wakufunzi wa chuo hicho, Antoneta Sunguya na Mariam Marianda wakionesha sufuria inayotumika kuchemshia nyanya kabla ya usindikaji.
Jengo la...
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KIKAO CHA BAJETI YA SHIRIKA LA MAGEREZA KWA MWAKA 2015/2016 LEO MKOANI MOROGORO
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IpZmrjUsHEY/VC2PXu4S-hI/AAAAAAAGnWk/aijyoZgP5TQ/s72-c/image.jpeg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI AFUNGA RASMI MAFUNZO YA ULINZI WA AMANI KWA MAAFISA MAGEREZA TOKA NCHI ZA SADC, MKOANI KILIMANJARO
![](http://4.bp.blogspot.com/-IpZmrjUsHEY/VC2PXu4S-hI/AAAAAAAGnWk/aijyoZgP5TQ/s1600/image.jpeg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Irym2LSo0jY/VC15aJkNk3I/AAAAAAADGkk/QTnF4EXo3RY/s72-c/image.jpeg)
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI TANZANIA AFUNGA RASMI MAFUNZO YA ULINZI WA AMANI KWA MAAFISA MAGEREZA TOKA NCHI ZA SADC, MKOANI KILIMANJARO
![](http://4.bp.blogspot.com/-Irym2LSo0jY/VC15aJkNk3I/AAAAAAADGkk/QTnF4EXo3RY/s1600/image.jpeg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-0Qhf4yxOHhA/VCI_XtC3i6I/AAAAAAACrh0/ax0Mkz1a2cc/s72-c/New%2BPicture.png)
TASAF YAANZA MAFUNZO KWA WATAALAMU WA KISEKTA KWA AJILI YA UIBUAJI MIRADI KWA WALENGWA WA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI
Akifungua warsha ya kuwajengea uwezo wataalamu hao mjini Bagamoyo mkoani Pwani, Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Bwana...
10 years ago
MichuziWARSHA YA MABADILIKO YA TABIA YA INCHI YAFUNGULIWA MJINI BAGAMOYO LEO
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CjhkoxQtdwM/XvGMSKphE9I/AAAAAAALvAw/hkWRIMl9X2cm7AvakInSSJomQA8FpIRPQCLcBGAsYHQ/s72-c/105275251_10158442040819722_4304338084191711700_n.jpg)
MAFUNZO YA UHAMASISHAJI NA WAELIMISHAJI WA MTANDAO WA WANAWAKE KATIKA JESHI LA MAGEREZA NCHINI YAFANYIKA MKOANI MOROGORO
Na Sajini Taji, Shani Mhando, Morogoro
Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Jinsia katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto Bi.Mboni Mgaza amepongeza kuanzishwa kwa mtandao wa wanawake katika Jeshi la Magereza nchini.
Akizungumza katika ufunguzi wa mafunzo ya mtandao wa wanawake katika Jeshi la Magereza jana Mkoani Morogoro, Bi Mboni amesema, hii ni hatua nzuri sana yakupongezwa kwa Jeshi hilo kwani itahakikisha wanawake katika nyanja zote wanatumia fursa...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ky0niSST31c/VP7D0VdeCaI/AAAAAAABnu4/VhnXncfHoEo/s72-c/wat1.jpg)
Wataalamu wa Mafunzo ya Ujasiriamali Wawapatia Mafunzo Wanakijiji wa Kitogani Zanzibar.
![](http://4.bp.blogspot.com/-ky0niSST31c/VP7D0VdeCaI/AAAAAAABnu4/VhnXncfHoEo/s640/wat1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-xYKgs_6dvIs/VP7D1OLW5aI/AAAAAAABnvA/8JKL_8rMZxM/s640/wat2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-HjcMnEdfVqw/VP7D5xUOQ4I/AAAAAAABnvI/WnNrvKW-O6Y/s640/wat3.jpg)