Wananchi Kahama wapongezwa kwa miradi ya maendeleo
KIONGOZI wa mbio za Mwenge, Rachel Kassanda amewapongeza wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Kahama kwa kuibua miradi mbalimbali ya maendeleo yenye lengo la kupiga vita umasikini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
Wananchi wa maeneo ya miradi ya maji watakiwa kutozembea kujadili maendeleo ya miradi

11 years ago
MichuziKINANA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MAFIA, ASAFIRI KWA BOTI PAMOJA NA WANANCHI
10 years ago
Michuzi
JK azindua miradi ya Maendeleo mkoani kigoma, awaaga wananchi

10 years ago
Dewji Blog26 Nov
Kinana akagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na Wananchi Nanyumbu leo

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara baada ya kupokea taarifa za chama na serikali juu ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2010

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupasua mawe wakati wa ujenzi wa mradi wa maji Sengenya

Ujenzi wa mradi wa maji wa Sengenya ukiwa unaendelea ambapo ukikamilika utasaidia vijiji vitatu wilayani Nanyumbu mkoa wa Mtwara.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...
10 years ago
VijimamboRais Kikwete azindua miradi ya Maendeleo kigoma awaaga wananchi
11 years ago
GPL
KATIBU MKUU WA CCM, KINANA ZIARANI HANDENI, AZUNGUMZA NA WANANCHI NA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI MBALIMBALI
11 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA ZIARANI HANDENI,AZUNGUMZA NA WANANCHI NA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI MBALIMBALI

11 years ago
Dewji Blog29 Jul
Jimbo la Dewji latumia 2.9 Bilioi kwa miradi ya Maendeleo
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida, Idd Mnyampanda akifungua kikao cha kawaida cha baraza la madiwani kilichofanyika mjini Singida.Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo Mwendaharaka Maganga, na kushoto ni Makamu Mwenyekiti, Saidi Mumbee.
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Singida, Mwendaharaka Maganga, akitoa taarifa yake ya utendaji mbele ya kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika mjini Singida.
Baadhi ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya...
11 years ago
Dewji Blog29 Jul
Jimbo la Dewji latumia 2.9 Bilioni kwa miradi ya Maendeleo
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida, Idd Mnyampanda akifungua kikao cha kawaida cha baraza la madiwani kilichofanyika mjini Singida.Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo Mwendaharaka Maganga, na kushoto ni Makamu Mwenyekiti, Saidi Mumbee.
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Singida, Mwendaharaka Maganga, akitoa taarifa yake ya utendaji mbele ya kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika mjini Singida.
Baadhi ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10