Serikali ipo hatarini kupoteza hisa NBC
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe amesema iwapo Serikali itashindwa kulipa deni la Sh22.5 bilioni inayodaiwa na kampuni ya Absa Group Limited ya Afrika Kusini hadi kufikia Machi mwakani, itapoteza asilimia 30 ya hisa zake katika Benki ya Biashara ya NBC.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Oct
Serikali kupokwa hisa NBC
HISA za Serikali zilizoko katika benki ya NBC ziko hatarini kupokwa na wawekezaji wa kigeni endapo Serikali haitolipa deni la Sh bilioni 22 inazodaiwa na kampuni ya ABSA/Barclays ya Afrika Kusini ifikapo Machi mwakani.
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Ipo hofu ya Ukawa kupoteza majimbo
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Mchele wa Mbeya hatarini kupoteza soko
9 years ago
Raia Mwema25 Nov
Kitulo hatarini kupoteza uzuri wake
UZURI wa Bustani ya Asili ya Kitulo upo hatarini kutoweka kutokana na uwepo wa mimea ya kigeni na
Felix Mwakyembe
10 years ago
Mwananchi12 Mar
Tanzania hatarini kupoteza soko la korosho duniani
10 years ago
Mtanzania23 Oct
NBC hatarini kufilisiwa
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), ipo hatarini kufilisiwa kutokana na kushindwa kulipa deni la Sh bilioni 22.4 inazodaiwa na kundi la kibenki la Afrika Kusini la ABSA Group Limited.
ABSA kwa sasa inamiliki asilimia 55 ya hisa za benki hiyo na Serikali ikibakiwa na asilimia 30, huku asilimia nyingine 15 za hisa zikimilikiwa na Shirika la Kimataifa la Fedha (IFC) kutoka World Bank Group.
Akizungumza jana katika Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali...
11 years ago
BBCSwahili17 May
Balozi:Kenya ipo hatarini kushambuliwa
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Serikali yakiri kupoteza mabilioni
SERIKALI imekiri kupoteza mabilioni ya fedha kila mwaka ambazo zinapaswa kulipwa kwa mujibu wa sheria na makampuni ya migodi nchini kama ushuru wa huduma kwa halmashauri zinazozunguka migodi hiyo. Naibu...
11 years ago
Mwananchi26 May
Serikali yadaiwa kupoteza Dola 581