Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NBC hatarini kufilisiwa

NBCNA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), ipo hatarini kufilisiwa kutokana na kushindwa kulipa deni la Sh bilioni 22.4 inazodaiwa na kundi la kibenki la Afrika Kusini la ABSA Group Limited.

ABSA kwa sasa inamiliki asilimia 55 ya hisa za benki hiyo na Serikali ikibakiwa na asilimia 30, huku asilimia nyingine 15 za hisa zikimilikiwa na Shirika la Kimataifa la Fedha (IFC) kutoka World Bank Group.

Akizungumza jana katika Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tanesco hatarini kufilisiwa

Wakati Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) likipandisha bei ya umeme kwa zaidi ya asilimia 40, limetakiwa kulipa zaidi ya Sh844.8 bilioni, kwa kampuni zilizoifungulia kesi mbili tofauti kwa kukiuka mkataba wa kukodisha mitambo ya kuzalisha umeme ya Kampuni ya IPTL.

 

10 years ago

Raia Tanzania

Simba, Yanga hatarini kufilisiwa

KLABU za Simba, Yanga  zipo kwenye hatari ya kufilisiwa kutokana na kukosa umakini wa kutoa mikataba kwa  makocha na wachezaji wa kigeni.

Hayo yamesemwa na Msimamizi wa Sheria na Wanachama Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Eliud Mvela jana wakati akizungumza na mwandishi wetu ofisini kwake kutokana na kesi nyingi  za klabu hizo zilizopelekwa  katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) zinazohusu  ukiukwaji wa makubaliano ya  mikataba. Alisema katika kuwasaidia atapanga siku ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali ipo hatarini kupoteza hisa NBC

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe amesema iwapo Serikali itashindwa kulipa deni la Sh22.5 bilioni inayodaiwa na kampuni ya Absa Group Limited ya Afrika Kusini hadi kufikia Machi mwakani, itapoteza asilimia 30 ya hisa zake katika Benki ya Biashara ya NBC.

 

5 years ago

Michuzi

WATEJA WA NBC WAENDELEA KUIBUKA KIDEDEA KUPITIA AKAUNTI YA NBC MALENGO

  Meneja Masoko wa Benki ya NBC, Alina Maria Kimaryo ( wa pili kushoto), akizungumza wakati wa droo ya mwezi Januari ya kampeni ya Ibuka Kidedea na NBC Malengo ambapo jumla ya washindi watano walijishindia pikipiki mpya kila mmoja. Wanaoangalia kutoka kushoto ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Masuli Masudi, Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza, Dorothea Mabonye, Meneja Kampeni ya Malengo, Mtenya Chewa na mmoja wa washindi wa bodaboda wa droo ya Disemba, Rosemary Kibodya.   Meneja wa...

 

5 years ago

Michuzi

WATEJA WA NBC WAENDELEA KUIBUKA KIDEDEA KUPITIA NBC MALENGO


 Meneja Masoko wa Benki ya NBC, Alina Maria Kimaryo ( wa pili kushoto), akizungumza wakati wa droo ya mwezi Januari ya kampeni ya Ibuka Kidedea na NBC Malengo ambapo jumla ya washindi watano walijishindia pikipiki mpya kila mmoja. Wanaoangalia kutoka kushoto ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Masuli Masudi, Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza, Dorothea Mabonye, Meneja Kampeni ya Malengo, Mtenya Chewa na mmoja wa washindi wa bodaboda wa droo ya Disemba, Rosemary...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA NBC YAZINDUA HUDUMA MPYA YA NBC DIRECT

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu (kulia) akibonyeza kitufe cha kampyuta kama ishara ya kuzindua rasmi bidhaa mpya kwa wateja wao ya NBC Direct, jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni maofisa wa beni hiyo wa pili kushoto ni, Sarah Laiser-Sumaye, Mary Kapeja, Andrew Massawe na, Mussa Jallow. Mkuu wa Huduma Rejareja za Kibenki, Mussa Jallow akizungumza na wateja na waalikwa wengine katika uzinduzi huo akieleza faida mbalimbali zinazopatikana katika bidhaa ya NBC...

 

10 years ago

Habarileo

Wakwepa kodi sasa kufilisiwa

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya SalumSERIKALI imesoma kwa mara ya pili bungeni, Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi (TAA) wa mwaka 2014, ambapo pamoja na mambo mengine, sheria hiyo itafanya wakwepa kodi kutangazwa kwenye vyombo vya habari.

 

11 years ago

Habarileo

Tembo hatarini kutoweka

TANZANIA inapoteza tembo 39 kila siku kutokana na matukio ya ujangili. Hali hiyo inatishia uwepo wa tembo hao ifikapo mwaka 2026.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani