Simba, Yanga hatarini kufilisiwa
KLABU za Simba, Yanga zipo kwenye hatari ya kufilisiwa kutokana na kukosa umakini wa kutoa mikataba kwa makocha na wachezaji wa kigeni.
Hayo yamesemwa na Msimamizi wa Sheria na Wanachama Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Eliud Mvela jana wakati akizungumza na mwandishi wetu ofisini kwake kutokana na kesi nyingi za klabu hizo zilizopelekwa katika Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) zinazohusu ukiukwaji wa makubaliano ya mikataba. Alisema katika kuwasaidia atapanga siku ya...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania23 Oct
NBC hatarini kufilisiwa
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), ipo hatarini kufilisiwa kutokana na kushindwa kulipa deni la Sh bilioni 22.4 inazodaiwa na kundi la kibenki la Afrika Kusini la ABSA Group Limited.
ABSA kwa sasa inamiliki asilimia 55 ya hisa za benki hiyo na Serikali ikibakiwa na asilimia 30, huku asilimia nyingine 15 za hisa zikimilikiwa na Shirika la Kimataifa la Fedha (IFC) kutoka World Bank Group.
Akizungumza jana katika Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali...
11 years ago
Mwananchi02 Mar
Tanesco hatarini kufilisiwa
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
10 years ago
Vijimambo09 Mar
10 years ago
Vijimambo
AUNGURUMAPO SIMBA MCHEZA NANI DAKIKA 90 SIMBA 1 YANGA 0



10 years ago
Vijimambo
YANGA NI ZAIDI YA MCHARO WAWALIZA SIMBA KWEUPEEE GOLI 2 BILA MAJIBU UTEJA KWA SIMBA KWISHINEIIIIIII!!

11 years ago
Mwananchi25 Jun
KAMPENI SIMBA: Wagombea Simba waijadili Yanga
10 years ago
Habarileo14 Nov
Wakwepa kodi sasa kufilisiwa
SERIKALI imesoma kwa mara ya pili bungeni, Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi (TAA) wa mwaka 2014, ambapo pamoja na mambo mengine, sheria hiyo itafanya wakwepa kodi kutangazwa kwenye vyombo vya habari.
10 years ago
Vijimambo
BAADA YA MAXIMO, SASA PHILI SIMBA OUT NA HUYU NDIYO MRITHI WA WAKE NAE SIJUI ATADUMU SIMBA NA YANGA NI SHIDA

Phiri raia wa Zambia amesema ni suala la kawaida kumtokea kocha, hivyo hana kinyongo na uongozi wa klabu hiyo.
"Wamenitaarifu kuhusiana na kuachishwa kazi, hili si jambo jipya, ingawa niliona tungeweza kubadilisha mambo.
"Najua Simba wanataka kufanya vizuri, hivyo siwezi kumlaumu mtu na utaona mwendo wa timu yetu ulivyokuwa," alisema Phiri.
Phiri amesema anasubiri kiasi cha fedha alichokuwa anadai ambacho hakueleza...