Tanesco hatarini kufilisiwa
Wakati Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) likipandisha bei ya umeme kwa zaidi ya asilimia 40, limetakiwa kulipa zaidi ya Sh844.8 bilioni, kwa kampuni zilizoifungulia kesi mbili tofauti kwa kukiuka mkataba wa kukodisha mitambo ya kuzalisha umeme ya Kampuni ya IPTL.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania23 Oct
NBC hatarini kufilisiwa
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), ipo hatarini kufilisiwa kutokana na kushindwa kulipa deni la Sh bilioni 22.4 inazodaiwa na kundi la kibenki la Afrika Kusini la ABSA Group Limited.
ABSA kwa sasa inamiliki asilimia 55 ya hisa za benki hiyo na Serikali ikibakiwa na asilimia 30, huku asilimia nyingine 15 za hisa zikimilikiwa na Shirika la Kimataifa la Fedha (IFC) kutoka World Bank Group.
Akizungumza jana katika Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali...
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Simba, Yanga hatarini kufilisiwa
10 years ago
Habarileo14 Nov
Wakwepa kodi sasa kufilisiwa
SERIKALI imesoma kwa mara ya pili bungeni, Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi (TAA) wa mwaka 2014, ambapo pamoja na mambo mengine, sheria hiyo itafanya wakwepa kodi kutangazwa kwenye vyombo vya habari.
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Wagonjwa KCMC hatarini
WAGONJWA wanaotibiwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, watumishi na wageni wanaowauguza wagonjwa, afya zao zipo hatarini kutokana na kukumbwa na magonjwa ya mlipuko na maji wanayotumia katika hospitali hiyo...
11 years ago
Habarileo24 May
Tembo hatarini kutoweka
TANZANIA inapoteza tembo 39 kila siku kutokana na matukio ya ujangili. Hali hiyo inatishia uwepo wa tembo hao ifikapo mwaka 2026.
11 years ago
Tanzania Daima06 Mar
Bunge la Katiba hatarini
KUSUASUA kuanza rasmi kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba kuna hatari ya Bunge hilo kuahirishwa ili kuruhusu Bunge la Muungano kuendelea na vikao vya Bunge la Bajeti, Tanzania Daima...
10 years ago
Vijimambo21 Feb
Afya za Watanzania hatarini
(2)(1).jpg)
Hali afya za wtanzania zipo hatarini kutokana na kasi ya kuingizwa nchini dawa zisizofaa kwa tiba asilia, kutoka nchi kadhaa za bara hususani Korea Kaskazini.
Uchunguzi wa NIPASHE Jumamosi uliofanywa kwa zaidi ya miezi mitano, umebaini kuwa dawa hizo zinaingizwa na kuuzwa nchini pasipo kuwa na maelezo mahususi, huku taarifa nyingine zikithibitisha kuwa zina ujazo wa madini yanayoizidi kiwango kinachotambulika kwa afya za watu.
Chanzo kimojawapo cha gazeti hili...
11 years ago
Mwananchi25 Jan
Dk Kigwangalla hatarini CCM
11 years ago
BBCSwahili08 Jan
Wenyeji wa Kalahari hatarini