Afya za Watanzania hatarini
Waziri wa afya, Dr Seif Rashid
Hali afya za wtanzania zipo hatarini kutokana na kasi ya kuingizwa nchini dawa zisizofaa kwa tiba asilia, kutoka nchi kadhaa za bara hususani Korea Kaskazini.
Uchunguzi wa NIPASHE Jumamosi uliofanywa kwa zaidi ya miezi mitano, umebaini kuwa dawa hizo zinaingizwa na kuuzwa nchini pasipo kuwa na maelezo mahususi, huku taarifa nyingine zikithibitisha kuwa zina ujazo wa madini yanayoizidi kiwango kinachotambulika kwa afya za watu.
Chanzo kimojawapo cha gazeti hili...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo02 Nov
Maisha ya maelfu ya Watanzania yapo hatarini
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2507848/highRes/865465/-/maxw/600/-/5g85upz/-/daladala.jpg)
9 years ago
StarTV22 Nov
Watanzania hatarini kukumbwa na magonjwa yasioambukizwa
Serikali na wadau wa afya nchini wametakiwa kuleta jitihada za pamoja ili kuweza kuisaidia jamii kupata elimu ya kutosha kuhusu namna ya kukabiliana na kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza kama vile saratani,kisukari,moyo na pumu.
Watu wengi nchini wanakumbwa na magonjwa yasiyoambukiza kutokana na kuishi mtindo wa maisha usiofaa kiafya.
Magonjwa yasiyoambukiza ni magonjwa ambayo yapo ndani ya jamii maskini na tajiri lakini mapambano dhidi yake hayapewi kipaumbele cha kutosha kama...
10 years ago
VijimamboMawaziri wa Afya wa Zanzibar na wa Afya wa Jamuhuri ya Muungano wakutana na waTanzania Ujerumani
10 years ago
Tanzania Daima10 Oct
Watanzania waaswa kupima afya
WATANZANIA wametakiwa kuwajibika kwa ajili ya afya zao kwa kwenda hospitali kupima mara kwa mara. Wito huo umetolewa jijini Dar es Salaam jana na Dk. Amyn Alidina, mtaalamu wa saratani katika Hospitali ya Aga Khan, alipokuwa...
10 years ago
Habarileo09 Jan
Vipodozi tishio afya za Watanzania
IMEELEZWA kuwa zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania, sawa na watu milioni 31.5, wako hatarini kupata magonjwa ya ngozi, kutokana na kutumia vipodozi visivyo sahihi.
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Watanzania wahimizwa kupima afya
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Ukosefu wa ajira unahatarisha afya za Watanzania
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
Watanzania watakiwa kupima afya zao
WAZIRI wa Afya na Ustawi wa jamii, Dk. Seif Rashid, amewataka Watanzania kujijengea utaratibu wa kupima afya zao mara kwa mara badala ya kusubiri wafikie dalili za ugonjwa hatua mbaya....
10 years ago
Mwananchi03 Jun
MAONI: Serikali isicheze na afya za Watanzania