Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vipodozi tishio afya za Watanzania

Vipodozi: Baadhi vimekuwa hatari kwa maisha ya wananchi.IMEELEZWA kuwa zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania, sawa na watu milioni 31.5, wako hatarini kupata magonjwa ya ngozi, kutokana na kutumia vipodozi visivyo sahihi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Tasnia Ya Urembo na Vipodozi Ilivyoathirika na Tishio la Janga la Corona


Tasnia ya urembo na vipodozi nchini imepigwa sana na tishio la Corona nchini. Ingawa serikali imetangaza kufungwa kwa vyuo vikuu na mashule, maafisa wa afya bado hawajatoa miongozo au kuamuru vizuizi vyovyote kuhusu saluni za nywele, wakiwemo vinyozi, watengenezaji kucha, makeup artists nakadhalika. Chama cha Urembo na Vipodozi Tanzania (TCA) inajitahidi kutoa elimu ya kujilinda kwa virusi vya Corona kwa wanachama wake lakini inaona gap kubwa iliyopo ambapo elimu hii yapaswa kuwafikia wenye...

 

10 years ago

Vijimambo

Mawaziri wa Afya wa Zanzibar na wa Afya wa Jamuhuri ya Muungano wakutana na waTanzania Ujerumani

Waziri wa afya na ustawi wa jamii wa Jamuhuri ya muungano Mhe.Bw.Seif Rashid na waziri wa afya wa Zanzibar Mhe. Rashid Seif Suleiman, Siku ya jumapili 25 januari 2015 walikutana na kuongea na baadhi ya watanzania waishio nchini ujerumani katika hoteli ya Martim Hotel mjini Berlin,mawaziri hao kwa pamoja waliongozana na balozi Tanzania nchini Ujerumani mheshimiwa Bw.Philip Malmo,katika mkutano huo mawaziri hao wote walielezea jinsi wizara zao zinavyofanya kazi kuhakikisha kuwa huduma za afya...

 

5 years ago

Michuzi

MINYOO BAPA YATAJWA KUWA TISHIO LA AFYA MIFUGO

Naibu Waziri wa Kilimo.na Mifugo Abdallah Hamis Ulega akizungumza katika mkutano wa siku moja wawataalam wa mifugo na Watafiti katika ukumbi wa Mauntmeru Holel leo.
Na.Vero Ignatus,Arusha
Serikali kupitia wizara ya mfugo imepokea utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha kilimo Sokoine kwa kushirikiana na chuo cha Livepol cha Uingereza na kile Bristone uingereza kuhusu athari na njia za kudhibiti magonjwa ya minyoo
Utafiti huo pia uliangazia kuwepo kwa sugu wa vimelea vya magonjwa hayo kwa dawa...

 

11 years ago

Mwananchi

FIGO: Matatizo yake, tishio kwa maisha ya Watanzania

>Hapa duniani kuna maradhi aina nyingi yanayotisha, yakisumbua binadamu, kuwatia ulemavu hata kuwa chanzo cha uchumi kutetereka, wakati mwingine kusababisha kifo. Miongoni mwa maradhi hayo ni kuharibika kwa figo.

 

10 years ago

Vijimambo

Afya za Watanzania hatarini

Waziri wa afya, Dr Seif Rashid
Hali afya za wtanzania zipo hatarini kutokana na kasi ya kuingizwa nchini dawa zisizofaa kwa tiba asilia, kutoka nchi kadhaa za bara hususani Korea Kaskazini.

Uchunguzi wa NIPASHE Jumamosi uliofanywa kwa zaidi ya miezi mitano, umebaini kuwa dawa hizo zinaingizwa na kuuzwa nchini pasipo kuwa na maelezo mahususi, huku taarifa nyingine zikithibitisha kuwa zina ujazo wa madini yanayoizidi kiwango kinachotambulika kwa afya za watu.

Chanzo kimojawapo cha gazeti hili...

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania wahimizwa kupima afya

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Stephen Kebwe amewataka wananchi kujenga utamaduni wa kupima afya zao ili kuzuia kasi ya ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell).

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watanzania waaswa kupima afya

WATANZANIA wametakiwa kuwajibika kwa ajili ya afya zao kwa kwenda hospitali kupima mara kwa mara. Wito huo umetolewa jijini Dar es Salaam jana na  Dk. Amyn Alidina, mtaalamu wa saratani katika Hospitali ya Aga Khan, alipokuwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watanzania watakiwa kupima afya zao

WAZIRI wa Afya na Ustawi wa jamii, Dk. Seif Rashid, amewataka Watanzania kujijengea utaratibu wa kupima afya zao mara kwa mara badala ya kusubiri wafikie dalili za ugonjwa hatua mbaya....

 

10 years ago

Mwananchi

Ukosefu wa ajira unahatarisha afya za Watanzania

Wapo pia wale wanaostaafu na kujikuta hawajaandaa mazingira mazuri ya kuendelea kuwa na kipato.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani