Maisha ya maelfu ya Watanzania yapo hatarini
Dar es Salaam. Maisha ya maelfu ya Watanzania yapo hatarini baada ya kubainika kuwa kwenye magari ya abiria maarufu daladala ya jijini humo, yanayotoa huduma za usiku kwa safari za kwenda na kutoka maeneo mbalimbali yamekuwa yakihusishwa na mtandao wa vibaka unaoendesha vitendo vya uporaji na ukabaji.Mtandao huo unaelezwa kufanya vitendo hivyo kwa kutumia silaha mbalimbali ikiwamo visu na bastola, huku baadhi ya vibaka hao wakitumia magari hayo kujificha kwa kujifanya ni abiria.Mbali na...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV09 Nov
Maisha ya wenye uhitaji wa damu salama mkoani Singida yapo hatarini
Mkoa wa Singida unakabiliwa na tatizo la upungufu wa damu katika hospitali zake kwa zaidi ya asilimia 60, hali inayotishia uhai wa maisha ya wanawake wajawazito na watoto wakati wa kujifungua, watu waliopata ajali pamoja na wagonjwa wengine wenye uhitaji wa damu salama haraka.
Imeelezwa kuwa mkoa huo ambao kwa wastani huwa na mahitaji ya Uniti 8,000 za damu kwa mwaka, umekuwa ukikusanya Uniti zisizozidi 3,000 kwa kipindi hicho hivyo kutotosheleza mahitaji.
Mtaalamu msaidizi wa damu...
11 years ago
Dewji Blog09 Aug
Maisha ya waendesha Bodaboda hatarini
Ofisa wa Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam akichukua funguo za Pikipiki wakati wa zoezi endelevu la kuwakamata waendesha Bodaboda, Zoezi hili kwa kiasi kikubwa limeongeza uhalifu mitaani.(Picha na maktaba).
Na Mwandishi wetu
Operesheni ya kukamata Pikipiki maarufu kama bodaboda zinazoingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam, imedaiwa kuhatarisha maisha ya watu kutokana na polisi kutozingatia usalama wa wapanda pikipiki hao wanapowakamata na kuwasababishia ajali.
Baadhi ya waandishi wa...
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Zitto: Maisha yetu hatarini
10 years ago
Vijimambo21 Feb
Afya za Watanzania hatarini
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/seif-rashid-jan28-2014(3)(2)(1).jpg)
Hali afya za wtanzania zipo hatarini kutokana na kasi ya kuingizwa nchini dawa zisizofaa kwa tiba asilia, kutoka nchi kadhaa za bara hususani Korea Kaskazini.
Uchunguzi wa NIPASHE Jumamosi uliofanywa kwa zaidi ya miezi mitano, umebaini kuwa dawa hizo zinaingizwa na kuuzwa nchini pasipo kuwa na maelezo mahususi, huku taarifa nyingine zikithibitisha kuwa zina ujazo wa madini yanayoizidi kiwango kinachotambulika kwa afya za watu.
Chanzo kimojawapo cha gazeti hili...
5 years ago
BBCSwahili11 Apr
Coronavirus: 'Maisha yangu yako hatarini kwasababu ya Corona'
9 years ago
StarTV29 Sep
Kichaa cha mbwa chazua hofu, maisha ya binadamu hatarini.
Ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa umeonekana kuwa hatari zaidi kwa maisha ya binadamu na mifugo kutokana na baadhi ya watu waliojeruhiwa kwa kung’atwa na mbwa kupoteza maisha hasa kwa kuchelewa kufika katika Hospitali kwa matibabu ya haraka.
Maeneo ya vijijini ndio yanaonekana na hatari kubwa kutokana na wingi wa wafugaji wanaotegemea mbwa kwa ulinzi wa mali zao huku jamii ikiwa bado haioni umuhimu wa kuwahudumia mbwa matibabu ya kiafya.
Kila ifikapo septemba 28 duniani huadhimisha siku ya kichaa...
10 years ago
Mwananchi30 Nov
Wanawake, watoto hatarini mgodini Geita maisha wawatesa waishio
9 years ago
StarTV22 Nov
Watanzania hatarini kukumbwa na magonjwa yasioambukizwa
Serikali na wadau wa afya nchini wametakiwa kuleta jitihada za pamoja ili kuweza kuisaidia jamii kupata elimu ya kutosha kuhusu namna ya kukabiliana na kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza kama vile saratani,kisukari,moyo na pumu.
Watu wengi nchini wanakumbwa na magonjwa yasiyoambukiza kutokana na kuishi mtindo wa maisha usiofaa kiafya.
Magonjwa yasiyoambukiza ni magonjwa ambayo yapo ndani ya jamii maskini na tajiri lakini mapambano dhidi yake hayapewi kipaumbele cha kutosha kama...
5 years ago
BBCSwahili22 Feb
Jinsi ndoa ya ''karaha 'ilivyomsaidia kuyaokoa maisha ya maelfu ya watu