Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake, watoto hatarini mgodini Geita maisha wawatesa waishio

Baadhi ya wanawake katika machimbo ya Nyarugusu wilayani Geita wakiwa wabeba watoto wao mgongoni wameendelea kufanya kazi ya kuponda mawe bila kujali maradhi yanayoweza kuwapata watoto wao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wajawazito, watoto walivyo hatarini katika migodi Geita

Ni katika Kijiji cha Nyakabale kilichopo mjini Geita. Kijijini hapo kuna nyumba nyingi zilizojengwa, unazoweza kuzifananisha na makambi ya wakimbizi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanafunzi hatarini kupata magonjwa ya mlipuko Geita

Shule za msingi Ukombozi na Nyankumbu zilizopo mjini Geita mkoani hapa, zipo hatarini kukumbwa na magonjwa ya mlipuko kutokana na kukosa vyoo na msongamano mkubwa wa wanafunzi kwenye madarasa.

 

11 years ago

Dewji Blog

Maisha ya waendesha Bodaboda hatarini

2

Ofisa wa Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam akichukua funguo za Pikipiki wakati wa zoezi endelevu la kuwakamata waendesha Bodaboda, Zoezi hili kwa kiasi kikubwa limeongeza uhalifu mitaani.(Picha na maktaba).

Na Mwandishi wetu

Operesheni ya kukamata Pikipiki maarufu kama bodaboda zinazoingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam, imedaiwa kuhatarisha maisha ya watu kutokana na polisi kutozingatia usalama wa wapanda pikipiki hao wanapowakamata na kuwasababishia ajali.

Baadhi ya waandishi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto: Maisha yetu hatarini

Siku moja kabla ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuwasilisha bungeni, ripoti ya uchunguzi wa IPTL kuhusu ufisadi katika akaunti ya Escrow, Mwenyekiti wa kamati hiyo, Zitto Kabwe amesema amekuwa akipata vitisho ili kuzuia ripoti hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

Maisha ya maelfu ya Watanzania yapo hatarini

Dar es Salaam. Maisha ya maelfu ya Watanzania yapo hatarini baada ya kubainika kuwa kwenye magari ya abiria maarufu daladala ya jijini humo, yanayotoa huduma za usiku kwa safari za kwenda na kutoka maeneo mbalimbali yamekuwa yakihusishwa na mtandao wa vibaka unaoendesha vitendo vya uporaji na ukabaji.Mtandao huo unaelezwa kufanya vitendo hivyo kwa kutumia silaha mbalimbali ikiwamo visu na bastola, huku baadhi ya vibaka hao wakitumia magari hayo kujificha kwa kujifanya ni abiria.Mbali na...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: 'Maisha yangu yako hatarini kwasababu ya Corona'

Lucy Watts ana matatizo mengine ya kiafya na anahofia kwamba iwapo atapata virusi vya Corona madaktari hawatampa kipaumbele kuwa miongoni wenye mashine za kupumua

 

10 years ago

Mwananchi

MAISHA: Ngono, bangi ‘nje nje’ mgodini Ihanzutwa-2

>Maisha nje ya shughuli za uchimbaji wa madini katika eneo hili yamegubikwa na vitendo vya uhalifu vikiwamo uuzaji na matumizi ya dawa za kulevya pamoja na biashara ya ngono. Sasa endelea…

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wanawake sasa hatarini Arusha’

>Wanawake wanaoendesha magari katika Jiji la Arusha, wamekumbwa na hofu kutokana na kuibuka watu  wasiojukikana ambao wanawashambulia kwa risasi.

 

9 years ago

StarTV

Kichaa cha mbwa chazua hofu, maisha ya binadamu hatarini.

Ugonjwa wa Kichaa cha Mbwa umeonekana kuwa hatari zaidi kwa maisha ya binadamu na mifugo kutokana na baadhi ya watu waliojeruhiwa kwa kung’atwa na mbwa kupoteza maisha hasa kwa kuchelewa kufika katika Hospitali kwa matibabu ya haraka.

Maeneo ya vijijini ndio yanaonekana na hatari kubwa kutokana na wingi wa wafugaji wanaotegemea mbwa kwa ulinzi wa mali zao huku jamii ikiwa bado haioni umuhimu wa kuwahudumia mbwa matibabu ya kiafya.

 

Kila ifikapo septemba 28 duniani huadhimisha siku ya kichaa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani