Wenyeji wa Kalahari hatarini
Wenyeji wanaoishi katika mapori ya jangwa la Kalahari wapo hatarini kupoteza utamaduni wao.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo14 Dec
Wenyeji Qunu walia kutomzika Mandela
WAKAZI wa kijiji cha Qunu ambako kiongozi wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela anatarajia kuzikwa kesho, wameelezea masikitiko yao dhidi ya taarifa kuwa hawatahudhuria maziko hayo. “Inauma sana kukosa kuhudhuria maziko hayo,” alisema Simesihle Soyaye juzi.
10 years ago
BBCSwahili21 Jan
Burkina Fasso yaapa kuwashinda wenyeji
Nahodha wa timu ya taifa ya Burkina Fasso Charles Kabore amesisitiza kuwa wataimarisha mchezo wao baada ya kushindwa na Gabon
10 years ago
Mwananchi15 Nov
Guinea ya Ikweta wenyeji wa Afcon 2015
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeitangaza Guinea ya Ikweta kuwa mwenyeji wa Fainali za Afrika 2015 baada ya Morocco iliyokuwa imepewa nafasi hiyo kujitoa kwa kuhofia ugonjwa wa Ebola
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
#Shinyanga:Wenyeji waelezea tatizo la maji
Watu wengi #Shinyanga wanasema kuwa kitu cha kwanza wanachokitaka rais ajaye awafanyie ni kuwahakikishia upatikanaji wa maji masafi
9 years ago
BBCSwahili20 Aug
Tanzania wenyeji Fainali Afrika - 2019
Tanzania inatarajiwa kuwa wenyeji wa fainali za Afrika za soka kwa wachezaji walio chini ya umri wa miaka 17 mwaka 2019.
9 years ago
BBCSwahili28 Nov
Tanzania bara kuchuana na wenyeji Ethiopia
Hatua ya makundi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge inahitimishwa leo kwa michezo miwili.
9 years ago
BBCSwahili15 Oct
El Nino;Wenyeji wakaidi onyo la kuhama TZ
Licha ya onyo kutoka kwa serikali ya Tanzania wakazi wa maeneo ya mabondeni wamekaidi kuhama kutokana na tishio la mvua kubwa ya El Nino
9 years ago
Mwananchi11 Oct
Stars wakataa hoteli ya wenyeji wao Malawi
Siku zote maisha ya soka ni fitina barani Afrika. Maisha hayo yaliendelea juzi jioni jijini Blantyre baada ya maofisa wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiongozwa na mjumbe wa kamati ya utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Ahmed Msafiri Mgoyi kugomea hoteli waliyoandaliwa na maofisa wa Malawi.
10 years ago
BBCSwahili18 Jan
Gabon yawika huku wenyeji wakipata sare
Timu ya Gabon ilianza vyema kampeni yake ya kulinyakua kombe la mataifa ya Afrika baada ya kuishinda Burkina Fasso
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania