WATEJA WA NBC WAENDELEA KUIBUKA KIDEDEA KUPITIA AKAUNTI YA NBC MALENGO
![](https://1.bp.blogspot.com/-8NAlVNoATGA/Xk6BN7GdopI/AAAAAAALegY/S5shak_Y7-AmerO6CoSVOqsJvOPgZx53wCLcBGAsYHQ/s72-c/01.jpg)
Meneja Masoko wa Benki ya NBC, Alina Maria Kimaryo ( wa pili kushoto), akizungumza wakati wa droo ya mwezi Januari ya kampeni ya Ibuka Kidedea na NBC Malengo ambapo jumla ya washindi watano walijishindia pikipiki mpya kila mmoja. Wanaoangalia kutoka kushoto ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Masuli Masudi, Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza, Dorothea Mabonye, Meneja Kampeni ya Malengo, Mtenya Chewa na mmoja wa washindi wa bodaboda wa droo ya Disemba, Rosemary Kibodya.
Meneja wa...
Michuzi