‘Amana za wateja zipo salama’-NBC
Kaimu Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Jimmy Myalize (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo akitoa ufafanuzi wa tatizo la huduma za kibenki kupitia mtandao wa simu za mkononi (Mobile Banking) ambapo alisema licha ya tatizo hilo hakuna hata senti moja ya mteja wao iliyopotea. Kulia ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Rukia Mtingwa.
Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Rukia Mtingwa (kulia)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima05 Dec
Fedha za wateja wetu zipo salama — NBC
BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), imeeleza hakuna fedha kutoka kwenye akaunti ya wateja wao ambayo imepotea baada ya kutokea tatizo la kiufundi katika mifumo ya kibenki kupitia mitandao ya...
5 years ago
Michuzi
WATEJA WA NBC WAENDELEA KUIBUKA KIDEDEA KUPITIA AKAUNTI YA NBC MALENGO


5 years ago
Michuzi
WATEJA WA NBC WAENDELEA KUIBUKA KIDEDEA KUPITIA NBC MALENGO

9 years ago
MichuziAMANA BANK YAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
Benki ya...
9 years ago
Dewji Blog28 Nov
Mkurugenzi wa Amana bank afunga wiki ya huduma kwa wateja tawi la Mwanza!
Benki ya Amana leo hii imehitimisha wiki ya huduma kwa wateja ambapo katika tawi la Mwanza mkurugenzi wa benki hiyo Dk Muhsin Masoud alitoa zawadi mbali mbali kwa wateja wenye sifa tofauti tofauti kama ioneshavyo pichani.
Mkurugenzi huyo alikutana na wateja mbali mbali tawini hapo ili kubadilishana nao mawazo na pia kupokea maoni toka kwao katika...
9 years ago
MichuziMkurugenzi wa Benki ya Amana afunga wiki ya huduma kwa wateja katika tawi la Mwanza
5 years ago
Michuzi
11 years ago
MichuziNBC YAADHIMISHA MWEZI WA HUDUMA KWA WATEJA
11 years ago
Habarileo08 Sep
NBC wazindua kampeni wateja kushinda gari
BENKI ya NBC imezindua kampeni inawowapa wateja wa benki hiyo nafasi ya kuweka akiba na kujishindia gari aina ya Nissan Double Cabin Pick up.