NBC YAADHIMISHA MWEZI WA HUDUMA KWA WATEJA
Baadhi ya wateja wa benki ya NBC wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa NBC, Paul Tibazarwa wakati alipokuwa akisikiliza maoni na kuwahudumia wateja katika maadhimisho ya mwezi wa wateja wa benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ambapo viongozi wa benki hiyo walitumia muda wao kuhudumia wateja katika matawi mbalimbali ya NBC.
Mkurugenzi Mtendaji wa muda wa benki ya NBC, Pius Tibazarwa akitoa maelekezo kwa mmoja wa wateja, Apolonia Thadeus kuhusu huduma mbalimbali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA MWEZI WA HUDUMA KWA WATEJA WA NBC YAZIDI KUNOGA
10 years ago
GPL
AIRTEL YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
11 years ago
Tanzania Daima07 Oct
CRDB yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja
BENKI ya CRDB inaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kusikiliza matatizo yanayowakabili wateja wa benki hiyo. Akizungumza jana alipotembelea matawi ya Holland, Premier na PPF jijini Dar es Salaam,...
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Kampuni ya Tigo yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja
Mtaalam wa huduma kwa wateja wa Tigo Jackson Jerry akiongea na wafanyakazi na wateja wa Tigo mara baada ya ufunguzi wa duka la Tigo lililokarabatiwa makao makuu ya Tigo Makumbusho ikiwa sehemu ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja.
Mtoa huduma ya ufundi wa Intaneti ya Tigo, Gloria Minja akitoa huduma kwa wateja katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.
Msimamizi mkuu wa Duka la Tigo Makumbusho Gissela Akaro akimkabidhi mteja wa Tigo, Gideon Mapunda mkazi wa Mbezi Luis fulana ikiwa...
11 years ago
MichuziBenki ya CRDB yaadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja

Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la moshi. Wakikata keki kama maadhimo ya Wiki ya Wateja wa Benki ya CRDB.

Meneja Uhusiano wa Akaunti ya Tanzanite ya Benki ya CRDB, Lucy Naivasha akiwapa Champagne wateja wa...
11 years ago
Michuzi06 Oct
11 years ago
Michuzi
Vodacom yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kwa kufadhili mradi wa ufugaji kuku
Mbali na kufadhili...
11 years ago
Michuzi.jpg)
CRDB Lumumba, Yaadhimisha Siku ya Huduma kwa Wateja Kwa Kuwakumbuka Wenye Ulemavu
11 years ago
MichuziHOSPITALI YA AGA KHAN YAADHIMISHA MWEZI WA UFAHAMU WA UGONJWA WA SARATANI YA MATITI DUNIANI KWA KUTOA BURE HUDUMA YA UPIMAJI
Mtaalamu wa Saratani katika hospitali hiyo, Dk.Amyn Alidina akizungumza na wanahabari kuhusu ugonjwa huo.