Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fedha za wateja wetu zipo salama — NBC

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), imeeleza hakuna fedha kutoka kwenye akaunti ya wateja wao ambayo imepotea baada ya kutokea tatizo la kiufundi katika mifumo ya kibenki kupitia mitandao ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

‘Amana za wateja zipo salama’-NBC

 Kaimu Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Jimmy Myalize (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo akitoa ufafanuzi wa tatizo la huduma za kibenki kupitia mtandao wa simu za mkononi (Mobile Banking) ambapo alisema licha ya tatizo hilo hakuna hata senti moja ya mteja wao iliyopotea. Kulia ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano, Rukia Mtingwa. Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Rukia Mtingwa (kulia)...

 

5 years ago

Michuzi

WATEJA WA NBC WAENDELEA KUIBUKA KIDEDEA KUPITIA AKAUNTI YA NBC MALENGO

  Meneja Masoko wa Benki ya NBC, Alina Maria Kimaryo ( wa pili kushoto), akizungumza wakati wa droo ya mwezi Januari ya kampeni ya Ibuka Kidedea na NBC Malengo ambapo jumla ya washindi watano walijishindia pikipiki mpya kila mmoja. Wanaoangalia kutoka kushoto ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Masuli Masudi, Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza, Dorothea Mabonye, Meneja Kampeni ya Malengo, Mtenya Chewa na mmoja wa washindi wa bodaboda wa droo ya Disemba, Rosemary Kibodya.   Meneja wa...

 

5 years ago

Michuzi

WATEJA WA NBC WAENDELEA KUIBUKA KIDEDEA KUPITIA NBC MALENGO


 Meneja Masoko wa Benki ya NBC, Alina Maria Kimaryo ( wa pili kushoto), akizungumza wakati wa droo ya mwezi Januari ya kampeni ya Ibuka Kidedea na NBC Malengo ambapo jumla ya washindi watano walijishindia pikipiki mpya kila mmoja. Wanaoangalia kutoka kushoto ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Masuli Masudi, Meneja wa Bidhaa za Kuwekeza, Dorothea Mabonye, Meneja Kampeni ya Malengo, Mtenya Chewa na mmoja wa washindi wa bodaboda wa droo ya Disemba, Rosemary...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wateja wa Tigo na ZANTEL sasa kufurahia huduma salama na uhakika ya kutumiana fedha kwenye Mitandao yao kwa 100%

2

Meneja Chapa wa Tigo William Mpinga akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mjini Zanzibar mapema leo kuhusu ushirikiano kati ya TigoPesa na EzyPesa ambapo sasa wateja kutoka mitandao hiyo miwili wataweza kutuma na kupokea pesa kutoka mtandao hiyo moja kwa moja kutoka kwa wakala wa mtandao wao bila kuwa na ulazima tena wa mteja kutafuta wakala wa mtandao wa mtu aliyemtumia pesa.

3

Mkurugenzi wa Huduma za Kutuma na Kupokea Fedha wa Tigo Andrew Hodgson akitoa maelezo kwa waandishi...

 

10 years ago

Michuzi

NBC YAADHIMISHA MWEZI WA HUDUMA KWA WATEJA

Baadhi ya wateja wa benki ya NBC wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa NBC, Paul Tibazarwa wakati alipokuwa akisikiliza maoni na kuwahudumia wateja katika maadhimisho ya mwezi wa wateja wa benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki ambapo viongozi wa benki hiyo walitumia muda wao kuhudumia wateja katika matawi mbalimbali ya NBC. Mkurugenzi Mtendaji wa muda wa benki ya NBC, Pius Tibazarwa akitoa maelekezo kwa mmoja wa wateja, Apolonia Thadeus kuhusu huduma mbalimbali...

 

10 years ago

Habarileo

NBC wazindua kampeni wateja kushinda gari

BENKI ya NBC imezindua kampeni inawowapa wateja wa benki hiyo nafasi ya kuweka akiba na kujishindia gari aina ya Nissan Double Cabin Pick up.

 

10 years ago

Vijimambo

BENKI YA NBC YAFUTURISHA WATEJA WAKE MJINI ZANZIBAR

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki zinazofuata misingi na kanuni za Kiislamu cha Benki ya NBC, Yassir Masoud (kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi cha benki hiyo, Mussa Jallow na Ofisa Fedha Mkuu wa NBC, Jaffari Matundu (kushoto) wakishiriki kuchukua mlo wa futari pamoja na baadhi ya wateja wa benki hiyo mjini Zanzibar katika hafla ya futari iliyoandaliwa na NBC kwa wateja wake mjini humo juzi.Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Mussa Jallow (kushoto), akisalimiana...

 

11 years ago

Michuzi

benki ya NBC yafuturisha wateja wake jijini Dar

Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal (kushoto) akipokewa na Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC Tanzania, William Kallaghe na Mwenyekiti wa Bodi ya NBC, Dk. Mussa Assad (kulia) alipoalikwa kama mgeni rasmi katika hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake jijini Dar es Salaam. Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal (wa pili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NBC Tanzania, Dk. Mussa Assad (wa pili kushoto) wakichukua mlo wa futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani