Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabilioni ya nyara za Serikali yaokolewa Kia

Kampuni ya Maendeleo ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kadco) imeokoa mabilioni ya fedha kwa kipindi cha wiki moja kwa kukamata nyara za Serikali zilizokuwa zikitoroshwa kwenda nje ya nchi.     

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Utoroshaji Nyara Za Serikali, Tanzanite  Maafisa sita KIA, askari matatani  

 

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Amos Makalla ameagiza kusimamishwa kazi maafisa sita wa idara ya usalama katika uwanja wa ndege wa Kimataifa KIA pamoja na askari mmoja wa kituo kidogo cha polisi cha KIA sanjenti Edward Myaga baada ya kuhusishwa na tuhuma za kushirikiana na watoroshaji wa nyara za Serikali na madini aina ya Tanzanite yenye thamani zaidi ya shilingi bilioni 2.

Maafisa waliosimamishwa kazi ni pamoja na Kefa Langia, Tumaini Mkojera, Recho Shayo na Debora Komba.

Wengine ni Frank...

 

5 years ago

Michuzi

Mabilioni mengine yaokolewa na TAKUKURU

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa  Nchini (TAKUKURU) imeokoa zaidi ya shilingi bilioni nne, baada ya kukamilika kwa awamu ya pili ya uchunguzi wa fedha ambazo ni  mali ya vyama vya ushirika ambazo hazijulikani zilipo.

Akitoa taarifa hiyo jijini Dar es salaam, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo amesema kuwa,  kuokolewa kwa fedha hizo kunafikisha shilingi bilioni 8.5 zilizookolewa tangu taasisi hiyo ipewe jukumu la kuchunguza shilingi bilioni 124 mali ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Ashikiliwa kwa nyara za Serikali

Polisi Mkoa wa Singida, wanamshikilia Jafari Hamisi (23),Mkazi wa Ukombozi mjini Singida,kwa tuhuma ya kumilki kinyume cha sheria vipande 16 vya meno ya ndovu vyenye thamani ya zaidi ya Sh17milioni.

 

10 years ago

Habarileo

Raia wapya wakamatwa na nyara za serikali

POLISI mkoani Katavi imewakamata raia wapya watatu waliokuwa wakimbizi kutoka Burundi kwa kujihusisha na biashara haramu ya meno ya tembo.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawili mbaroni kwa nyara za Serikali

Polisi mkoani Rukwa inawashikilia watu wawili akiwemo dereva wa gari mali ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa wakiwa na mizoga miwili ya nyamapori aina ya swala kinyume cha sheria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ofisa wanyamapori kortini kwa nyara za serikali

OFISA Muhifadhi Wanyamapori Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Rashidi Ndimbe, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kukutwa na nyara za serikali. Mbele...

 

11 years ago

GPL

WATATU WAKAMATWA NA NYARA ZA SERIKALI MBAGALA, DAR

Ngozi ya chui na nyara nyingine zilizokamatwa.
Meno ya tembo yaliyopatikana kwa watuhumiwa.
Kamishna  Kova akionyesha baadhi ya nyara walizozikamata. WANAWAKE…

 

9 years ago

GPL

POLISI YAKAMATA BUNDUKI, BANGI, NYARA ZA SERIKALI

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai CP, Diwan Athuman, akitoa taarifa yake. Wanahabari wakichukua matukio. CP Athuman akifanua jambo. Wanahabari wakisikiliza kwa makini kilichokuwa kikiendelea kwenye hafla hiyo. JESHI la polisi nchini kwa kushirikiana na ofisi za polisi wa kimataifa,…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani