Mabilioni mengine yaokolewa na TAKUKURU
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) imeokoa zaidi ya shilingi bilioni nne, baada ya kukamilika kwa awamu ya pili ya uchunguzi wa fedha ambazo ni mali ya vyama vya ushirika ambazo hazijulikani zilipo.
Akitoa taarifa hiyo jijini Dar es salaam, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo amesema kuwa, kuokolewa kwa fedha hizo kunafikisha shilingi bilioni 8.5 zilizookolewa tangu taasisi hiyo ipewe jukumu la kuchunguza shilingi bilioni 124 mali ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Mabilioni ya nyara za Serikali yaokolewa Kia
9 years ago
Dewji Blog27 Sep
Sasa ni Rasmi: Tanzania kupata mabilioni mengine ya MCC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
-Yafaulu mtihani wa kupata bilioni 992.8 za kuboresha sekta ya umeme
-Yafanikiwa baada ya kutimiza masharti yote likiwemo la kupambana na rushwa
-Zitaanza kutolewa mwakani baada ya kupigiwa kura na Bodi ya MCC
Tanzania imetimiza masharti yote ya kupatiwa raundi ya pili ya fedha za maendeleo kutoka Shirika la Maendeleo ya Milenia la Millennium Challenge Corporation (MCC) la Marekani na itaanza kupata na kunufaika na...
9 years ago
StarTV17 Dec
Zaidi ya 50% ya maisha ya watoto wenye ugonjwa Saratani  yaokolewa
Katika kipindi cha miaka mitano, tangu Serikali kwa kushirikiana na wadau wa afya waanzishe kitengo cha ugonjwa wa Saratani kwa watoto kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, zaidi ya asilimia 50 ya maisha ya watoto wenye ugonjwa huo yameokolewa.
Awali katika wodi ya watoto wenye tatizo hilo kwenye taasisi ya Saratani ya Ocean Road ni asilimia 10 tu ya watoto hao walioweza kuokolewa maisha.
Umasikini na uelewa mdogo katika ugonjwa Saratani ni miongoni mwa sababu zinazochangia ongezeko la...
11 years ago
BBCSwahili10 Mar
Njaa na masaibu mengine Turkana
10 years ago
Habarileo27 Nov
Mapendekezo mengine mazito ya PAC
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ilitoa mapendekezo mengine bungeni mjini Dodoma yafuatayo:
Hukumu ya Jaji
Utamwa Kamati inaitaka Serikali kwenda mahakamani kuomba mapitio ya hukumu iliyoletwa na Jaji John Utamwa.
Kamati inaitaka Serikali kwa mujibu wa sheria na makubaliano ya mkataba, kuchukua mtambo wa IPTL na kuumilikisha kwa Tanesco Kamati inaielekeza Serikali kufanya uchunguzi kwanza kama malipo ya Capacity Charges yaliyolipwa kwa miaka minne kama kuhudumia mkopo kabla ya...
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Mapinduzi mengine yaandaliwa Burundi
11 years ago
Tanzania Daima29 Mar
‘Bunge limeyasahau makundi mengine’
MKUFUNZI wa Chuo cha Mafunzo ya Jinsia cha Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Dorothy Mbilinyi, amesema Bunge limekuwa na malumbano ya serikali tatu, mbili na muungano wakati kuna makundi muhimu...
11 years ago
BBCSwahili11 Jul
Mashambulizi mengine yatokea Lamu
10 years ago
GPLMASTAA, MNAYOIGA MENGINE NI YA KIJINGA!