Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA, MNAYOIGA MENGINE NI YA KIJINGA!

ULIMWENGU wa kisasa haukuweza kuiweka kando Tanzania, hasa baada ya teknolojia kufika na kutumiwa ipasavyo na jamii yetu. Hii imefanya kuzaliwa kwa ule msemo kuwa dunia imekuwa kijiji, kwa maana kwamba sasa unaweza kujua au kuona kila kitu kilichopo duniani kupitia simu yako iliyo kiganjani. Simu hizi, hasa kwa vijana, zimewasogeza karibu zaidi na wenzao duniani kote, kiasi kwamba siyo jambo la ajabu mtu akiwa Kariakoo,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Ushabiki wa kijinga dalili za umasikini wa akili

NINAKUMBUKA enzi zile tukiwa shule ya msingi, tulikuwa tukiimba juu ya maadui watatu wa taifa let

Privatus Karugendo

 

9 years ago

Bongo Movies

JB: Sitaki Watu Wenye Ushabiki wa Kijinga…

Staa wa bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ambaye alikuwa ni moja ya wasanii wa bongo movies ambao walikuwa wakikipigia kampeni chama cha mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi uliyopita, amewafungukia baadhi ya mashabiki kwenye ukurasa wake wa Instagram ambao wamekuwa wakiendeleza siasa hadi kwenye kazi yake ya sanaa.

Narudia kwa mara ya mwisho kwenye acc yangu sitaki watu wenye ushabiki wa kijinga....sitaki matusi...hivi unaposema tutaburn cd hatununui tena unafikiri unanikomoa mimi peke...

 

10 years ago

Bongo Movies

Elly G:Wivu Wa Kijinga Unatuumiza Wasanii

MSANII wa filamu wa kiume Elia Daniel ‘Elly G’ amefunguka kwa kusema kuwa baadhi ya wasanii wana wivu katika tasnia ya filamu kwa kiwango kikubwa hata kufikia kuwaroga wale ambao wanaonyesha juhudi zao katika fani hiyo, Elly G anadai kuwa kuna wakati ambao wawapo Lokeshini hutokewa mauzauza.


“Kuna baadhi ya wasanii hawataki kabisa kuona unafakiwa katika tasnia ya filamu Bongo, utaona msanii akiona tu kila wakati upo Lokesheni unashuti halafu kazi nzuri zinakubalika na jamii tatizo na...

 

10 years ago

Habarileo

Jaji Mutungi: Redio jamii msikubali kutumiwa ‘kijinga’ na wanasiasa

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amezitaka redio za jamii kutokubali kutumiwa na vyama vya siasa vinavyotumia unyonge wa Watanzania kiuchumi kujinufaisha kisiasa.

 

9 years ago

GPL

MPENZI WAKO AKIKULALAMIKIA UNA WIVU WA KIJINGA KWAKE... UJUE ANAKUSALITI-2

NAAM! Ni Jumanne tena. Naamini wasomaji wangu mnaendelea kuhesabu siku kuifikia Oktoba 25, mwaka huu ambapo itakuwa siku ya kupiga kura kumchagua rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lakini pia kuna kuwachagua madiwani na wabunge. Kwa upande wangu nashukuru sana kwamba pamoja na harakati za uchaguzi mkuu, bado napata meseji nyingi sana kutoka kwenu. Hii inaashiria kwamba, mnanisoma vizuri. Wiki iliyopita mada...

 

10 years ago

GPL

ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME

Na Mayasa Mariwata
MKONGWE kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewalaumu vikali mastaa wa kiume Bongo kuwa ndiyo chanzo kikubwa cha tasnia kutawaliwa na mastaa wa kike wanaojiuza. Mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ Akizungumzia kuhusiana na kuwepo kwa madai ya wasanii wa kike Bongo Movie kujiuza, Cathy alisema hawezi kuweka wazi kama anawajua wahusika au...

 

11 years ago

BBCSwahili

Njaa na masaibu mengine Turkana

Kaunti ya Turkana kaskazini mwa Kenya inakabiliwa na ukame mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika miaka ya karibuni.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mashambulizi mengine yatokea Lamu

Watu waliojihami wamevamia kijiji cha Pandanguo katika Kaunti ya Lamu Pwani ya Kenya na kuteketeza nyumba pamoja na shule.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mapinduzi mengine yaandaliwa Burundi

Mmoja wa viongozi katika mapinduzi yaliyozimwa nchini Burundi hivi karibuni ya kumpindua Rais Piere Nkurunziza ameiambia BBC kuwa waasi wao wamekuwa wakiwapa mafunzo polisi na askari kwa ajili ya jaribio jingine la kumwondoa rais Pierre Nkurunziza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani