Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JB: Sitaki Watu Wenye Ushabiki wa Kijinga…

Staa wa bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ambaye alikuwa ni moja ya wasanii wa bongo movies ambao walikuwa wakikipigia kampeni chama cha mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi uliyopita, amewafungukia baadhi ya mashabiki kwenye ukurasa wake wa Instagram ambao wamekuwa wakiendeleza siasa hadi kwenye kazi yake ya sanaa.

Narudia kwa mara ya mwisho kwenye acc yangu sitaki watu wenye ushabiki wa kijinga....sitaki matusi...hivi unaposema tutaburn cd hatununui tena unafikiri unanikomoa mimi peke...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Ushabiki wa kijinga dalili za umasikini wa akili

NINAKUMBUKA enzi zile tukiwa shule ya msingi, tulikuwa tukiimba juu ya maadui watatu wa taifa let

Privatus Karugendo

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu  Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.

Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AWATAKA WANANCHI KUACHA USHABIKI BADALA YAKE WACHAGUE VIONGOZI WENYE SIFA NA WANAOFAA KULIONGOZA TAIFA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi waliojitokeza kwenye ofisi za CCM mkoa wa Singida jioni hii ambapo aliwahutubia wananchi na kuwaeleza kuwa huu ni wakati wa kuchagua kiongozi wa kutuongoza hivyo ni vyema wananchi kupima na kuacha ushabiki.  Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimia na Mkuu wa mkoa wa Singida,Dkt.Parseko kone mara baada ya kuwasili mkoani humo na kuwasalimia wananchi akiwa njiani kuelekea mkoani Kagera akiwa ameambatana Katibu...

 

11 years ago

GPL

WAJUE WATU 10 WENYE NGUVU TANZANIA

KWA muda wa miezi miwili , magazeti ya Global Publishers Ltd yaliendesha zoezi la kuwashirikisha wasomaji wake juu ya mtu gani mwenye nguvu zaidi ya ushawishi katika jamii ya Watanzania. Rais Jakaya Kikwete. Jumla ya Watanzania 438,726 walipiga kura kupendekeza majina mbalimbali. Watu 10 waling’ara zaidi kwa kugawana jumla ya kura asilimia 97.4, huku wengine ambao hawakuweza kuchomoza wakiambulia mgawo wa asilimia 2.6.
...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mitindo ya watu wenye miili mikubwa

Wiki hii wataalam wa Mitindo kutoka Afrika wamekua wakionyesha mitindo yao katika maonyesho maalum mjini London.

 

9 years ago

Mwananchi

Ndoto za watu wenye ulemavu zinapotimia

Ulemavu ni hali inayotokana na dosari ya kimwili au kiakili ya muda mfupi au ya kudumu ambayo inampunguzia mtu uwezo na fursa sawa katika utekelezaji wa majukumu mbalimbali katika jamii.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu wenye nguvu na ushawishi zaidi duniani

Jarida la Forbes limetoa orodha ya watu wenye nguvu na ushawishi zaidi duniani, huku Rais wa Marekani Barack Obama akiondolewa kutoka nafasi ya pili.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tamwa kuzindua jarida la watu wenye ulemavu

SHIRIKISHO la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (Shivyawata), leo linatarajiwa kuzindua jarida linalojulikana kama ‘Sauti ya Siti’. Jarida hilo maalumu kwa watu wenye ulemavu, limeandaliwa na Chama cha Wanahabari...

 

9 years ago

Mtanzania

Watu 829 wauawa na wananchi wenye hasira

1111ASIFIWE GEORGE NA KOKU DAVID, DAR ES SALAAM

WATU 829 wameuawa katika kipindi cha Januari hadi Oktoba mwaka huu kutokana na wananchi kujichukulia sheria mkononi.

Akizungumza Dar es Salaam jana, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba, alisema matukio ya watu kujichukulia sheria mkononi yameongezeka, ikilinganishwa na mwaka jana katika kipindi kama hicho ambapo watu 785 waliuawa kwa matukio kama hayo.

Alisema takwimu zinaonyesha kuwa tabia hiyo inaendelea kujengeka na kuonekana kama ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani