Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mitindo ya watu wenye miili mikubwa

Wiki hii wataalam wa Mitindo kutoka Afrika wamekua wakionyesha mitindo yao katika maonyesho maalum mjini London.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MDAU WA WATU WENYE UALBINO JOSEPH GORYO ATOA MISAADA SHULE YA MITINDO, MWANZA


MDAU mkubwa wa mambo ya jamii ikiwemo Elimu, Wanawake, Watoto  na watu wenye Ualbino Joseph Goryo ametoa misaada mbalimbali shule ya msingi Mitindo iliyoko Wilayani Misungwi mkoani Mwanza.

Misaada hiyo maalum iliyotolewa kwa ajili ya watoto wanaolelewa shuleni hapo ni pamoja na: kandambili PC 100, mashuka 104, masweta ya shule 25, Sketi 10 na miwani kwa watoto wenye ualbino wanaolelewa na kusomea shule hiyo.

Akikabidhi misaada hiyo, Goryo amewaomba wadau mbalimbali kuitembelea shule ya msingi...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA


Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii

UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu  Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.

Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Miili ya watu 34 yapatikana Bujumbura

Miili zaidi ya 34 imepatikana katika barabara za mji mkuu wa Burundi huku machafuko yakiendelea.

 

9 years ago

BBCSwahili

Miili ya watu 19 yagunduliwa Mexico

Miili ya watu wapatao 19 imepatikana katika jimbo la Mexico la Guerrero, ambako wanafunzi 43 walitoweka mwaka jana.

 

11 years ago

BBCSwahili

Miili ya watu 15 yapatikana CAR

Shirika la msalaba mwekundu Katika Jamhuri ya Afrika ya Kati linasema kuwa limefanikiwa kupata miili ya watu 15 ambao wameuawa tangu siku ya Jumamosi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Miili ya watu 8 yapatikana barabarani Burundi

Mwandishi BBC mjini humo, anasema baadhi ya miili ilikuwa na majeraha ya risasi kichwani, na inaelekea walifungwa kwa kamba kabla ya kuuawa.

 

5 years ago

BBCSwahili

India: Baba azika ua kuchoma maelfu ya miili ya watu kujifariji kwa kifo cha mtoto wake

Mohammad “Mjomba” Shareef amezika ama kuchoma maelfu ya miili ya watu kwa miaka 28 kaskazini mwa India mji wa Ayodhya. Mtoto wake wa kiume aliuawa katika vita 1992 na mwili wake haukuwahi kuonekana zaidi ya nguzo zake tu.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MIILI YA WATU 14 WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA MELI YA CONGO YAIBUKA KIGOMA, ZAZIKWA NA SREKALI YA TANZANIA

Na Editha Karlo Globu ya Jamii,Kigoma
JUMLA ya maiti 14 zimezikwa baada ya makubaliano baina ya serekali ya Tanzania na serekali ya Demokrasia ya Congo(DRC)ambapo katika mazishi hayo serekali ya Congo iliwakilishwa na Balozi wa Congo kutoka ubalozi mdogo wa DRC Mkoani Kigoma.
Akizungumza muda mfupi baada ya mazishi ya raia hao Balozi mdogo wa DRC nchini kutoka Ubaozi mdogo Mkoani hapa,Mh. Riki Moleme alisema.

Mh. Maleme alisema kuwa amefarijika sana kwa namna serekali ya Tanzania...

 

9 years ago

Mwananchi

Ndoto za watu wenye ulemavu zinapotimia

Ulemavu ni hali inayotokana na dosari ya kimwili au kiakili ya muda mfupi au ya kudumu ambayo inampunguzia mtu uwezo na fursa sawa katika utekelezaji wa majukumu mbalimbali katika jamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani