Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wawili mbaroni kwa nyara za Serikali

Polisi mkoani Rukwa inawashikilia watu wawili akiwemo dereva wa gari mali ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa wakiwa na mizoga miwili ya nyamapori aina ya swala kinyume cha sheria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Tanapa Katavi yatia mbaroni 11 kwa nyara za mil. 532/-

JESHI la Polisi mkoani Katavi kwa kushirikiana na askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), wamefanikisha kukamata watu 11 wanaohutumiwa kumiliki nyara za serikali, yakiwemo meno ya tembo yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 532.5 kati ya Desemba 24, 2014 na Desemba 30 mwaka 2015.

 

11 years ago

Mwananchi

Ashikiliwa kwa nyara za Serikali

Polisi Mkoa wa Singida, wanamshikilia Jafari Hamisi (23),Mkazi wa Ukombozi mjini Singida,kwa tuhuma ya kumilki kinyume cha sheria vipande 16 vya meno ya ndovu vyenye thamani ya zaidi ya Sh17milioni.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawili watiwa mbaroni kwa ‘unga’

Kikosi cha Polisi cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia), kimewakamata mkazi wa Ilala na raia wa Nigeria, kwa tuhuma za kukutwa na begi lenye kilo 4.8 za dawa zinazodhaniwa kuwa ni za kulevya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wawili mbaroni kwa meno ya tembo

JESHI la Polisi mkoani hapa linawashikilia Fatuma Athumani (50) na Joel Antony kwa tuhuma za kukutwa na vipande tisa vya meno ya tembo ndani ya gari lenye namba ya usajili...

 

10 years ago

Mwananchi

Askari wawili mbaroni kwa fedha bandia

Jeshi la Polisi mkoani Simiyu linawashikilia askari wawili wa magereza na polisi kwa kukutwa na noti bandia ikiwa pamoja na sare za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).

 

11 years ago

Mwananchi

Wawili mbaroni kwa tuhuma za kuwateka watoto

Polisi wa Kanda ya Dar es Salaam wamewakamata watu wawili wenye asili ya Kiasia ambao wanatuhumiwa kujihusisha na vitendo vya utekaji nyara.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Wawili mbaroni kwa mauaji ya sista Dar


EVA MBESELE NA RACHEL KYALA
JESHI la Polisi limewakamata watu wawili wanaotuhumiwa kuhusika na kifo cha Mtawa wa Kanisa Katoliki, Clesencia Kapuri (50) aliyeuawa Juni 23, mwaka huu, huko Ubungo Kibangu, Dar es Salaam.
Majambazi hao  licha ya kuhusishwa  na tukio hilo na kupora sh. milioni 20, pia walikuwa wakitafutwa kwa muda mrefu kwa tuhuma za tukio la uporaji wa fedha katika benki ya Barclays tawi la Kinondoni. 
Hata hivyo, kinara wa ujambazi katika tukio la uporaji kwenye benki hiyo,...

 

11 years ago

Mwananchi

Askari wawili mbaroni kwa kuteka magari

>Askari mwenye cheo cha sajini katika  Gereza la Ruanda na polisi mwenye cheo cha konstebo  katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Mbeya, wamekamatwa kwa tuhuma za kushirikiana na watu wengine watatu, kwa kuteka gari  na kupora  fedha na mali  katika eneo la Mlima wa Kawetere, Barabara ya Mbeya-Chunya, juzi jioni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ofisa wanyamapori kortini kwa nyara za serikali

OFISA Muhifadhi Wanyamapori Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Rashidi Ndimbe, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa tuhuma za kukutwa na nyara za serikali. Mbele...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani