Serikali yailipa MSD bilioni 20/-
SERIKALI imetoa kiasi cha Sh bilioni 20 ili kulipa sehemu ya deni la Sh bilioni 81 inayodaiwa na Bohari Kuu ya Taifa ya Dawa (MSD).
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogKAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI BILIONI 250, WAZIRI WA FEDHA AHUTUBIA HAFLA HIYO
Na Farida Ramadhani na Josephine Majura
KAMPUNI ya Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100, sawa na takriban sh. bilioni 250, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ya Madini ilikubali kulipa kama fidia ya kodi.
Mfano wa Hundi ya kiasi hicho cha fedha imekabidhiwa na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Barrick, Bw. Hilaire Diarra kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, kwa niaba ya Serikali, Jijini Dodoma leo Mei 26, 2020.
Akizungumza baada ya kupokea...
9 years ago
Habarileo06 Jan
MSD yaidai serikali bilioni 117/-
BOHARI Kuu ya Taifa ya Dawa (MSD) imesema kuwa deni ambalo wanaidai Serikali limezidi kuongezeka hadi kufikia Sh bilioni 117 Septemba 2015, hali ambayo imefanya kuzorotesha utendaji wa bohari hiyo.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-tIek3Sfwcdc/Xs0SEul2-_I/AAAAAAALrms/Yq5GY4Bq_zMgJwXSs-W_12-7-5jtNgDewCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
KAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI DOLA MILIONI 100
![](https://1.bp.blogspot.com/-tIek3Sfwcdc/Xs0SEul2-_I/AAAAAAALrms/Yq5GY4Bq_zMgJwXSs-W_12-7-5jtNgDewCLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) wa pili kushoto, akipokea hundi kifani ya dola milioni 100 kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Barrick Bw. Hilaire Diarra (wa pili kushoto), Jijini Dodoma Tarehe 26 Mei, 2020, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ilikubali kuilipa Serikali kumaliza mzozo uliokuwepo kati ya Serikali na Kampuni hiyo hatua iliyosababisha pia kuanzishwa kwa Kampuni ya Ubia ya Madini ya Twiga kati ya Serikali na...
5 years ago
MichuziKAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI DOLA MILIONI 100, WAZIRI WA FEDHA AHUTUBIA HAFLA HIYO
Na Farida Ramadhani na Josephine Majura
KAMPUNI ya Barrick imeilipa Tanzania dola milioni 100, sawa na takriban sh. bilioni 250, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ya Madini ilikubali kulipa kama fidia ya kodi.
Mfano wa Hundi ya kiasi hicho cha fedha imekabidhiwa na Meneja Mkazi wa Kampuni ya Barrick, Bw. Hilaire Diarra kwa Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, kwa niaba ya Serikali, Jijini Dodoma leo Mei 26, 2020.
Akizungumza baada ya...
10 years ago
Uhuru Newspaper26 Oct
MSD yaidai serikali mabilioni
NA EPSON LUHWAGO
UHABA mkubwa wa dawa na vifaa tiba umezikumba hospitali nyingi nchini, zikiwemo za Muhimbili na Ocean Road, kutokana na serikali kudaiwa zaidi ya sh. bilioni 90 na Bohari Kuu ya Dawa, (MSD).
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali linalofuatilia masuala ya afya nchini la SIKIKA, Irenei Kiria, alisema jana jijini Dar es Salaam kuwa hali hiyo inahatarisha maisha ya wananchi kutokana na kukosa matibabu.
Irene alisema kutokana na madeni hayo, MSD imesimamisha...
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Serikali yapunguza deni MSD
10 years ago
Tanzania Daima05 Nov
Serikali iharakishe kulipa deni la MSD
MOJA ya taarifa iliyopo katika gazeti hili ni ile ya mbunge wa Kisesa, Luaga Mpina (CCM), kuutaka mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma, uahirishwe ili fedha zitakazookolewa, zikalipie deni la...
10 years ago
Habarileo11 Nov
Serikali yasikia kilio deni kubwa la MSD
HATIMAYE kilio cha wagonjwa kupoteza maisha na kuteseka, kutokana na uhaba mkubwa wa dawa katika hospitali nyingi nchini, kunakotokana na Bohari ya Taifa ya Dawa (MSD) kuishiwa dawa, kwa kutolipwa zaidi ya Sh bilioni 102 na Serikali, kimesikika.