MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU WA WIZARA MBALIMBALI WASHANGAZWA KASI YA MRADI WA UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR)
![](https://1.bp.blogspot.com/-HO-zEXRFBOk/Xl37y6QkoAI/AAAAAAALggM/kQyIyOyQcmw7b15i1lO9ooMiNSIffZMWQCLcBGAsYHQ/s72-c/98c0df68-a72c-4fb9-b3ae-91edb92db395.jpg)
Na Avila Kakingo-Michuzi Blog
MAKATIBU wakuu na Manaibu wa Wizara mbalimbali katika serikali ya awamu ya Tano ya Dkt. John Pombe Magufuli wameshangazwa na maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa reli ya kisasa ya Umeme (SGR).
Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wizara ya Katiba na Sheria, Profesa Sifuni Mchome wakati wa ziara ya kutembelea ujenzi wa Mradi wa reli ya Kisasa kutoka Dar es Salaam mpaka Dodoma, amesema kuwa kwakuwa mradi huu unazungumzwa katika vikao vyao ndio mana leo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
CCM Blog04 Jan
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/EXHcEhMGlpY/default.jpg)
9 years ago
Global Publishers31 Dec
Rais Magufuli ateua Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali. Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
1. Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi – Ombeni Sefue
2. Katibu Mkuu Ikulu Peter Ilomo
3. Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora
Dkt. Laurian Ndumbaro
4. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
Mhandisi Mussa Iyombe (Katibu Mkuu)
Dkt. Deo Mtasiwa (Naibu Katibu Mkuu –...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR)
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) na kusema kuwa mradi huo umesaidia kupungua tatizo la ajira kwa kuajiri wafanyakazi 18,700.
“Kukamilika kwa awamu ya kwanza ya mradi huu, kumesaidia kupunguza ukosefu wa ajira kwa kutoa ajira 7,400 kwa kipande cha Dar hadi Morogoro. Kipande cha Morogoro hadi Singida kimetoa ajira 6,300 wakati mradi wa umeme...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/sIQbbmJ6guU/default.jpg)
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
Rais Magufuli afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu, Manaibu Makatibu Wakuu na Kaimu Naibu Kamishn TRA Nchini!!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitangaza Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Ikulu jijini Dar es Salaam jioni ya leo December 30, 2015. Kushoto ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakisikiliza kwa makini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu Katibu wakuu katika Wizara mbalimbali.
Walioteuliwa ni kama ifuatavyo;
Katibu Mkuu...
9 years ago
CCM BlogBALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA RASMI SEMINA ELEKEZI KWA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU MAKATIBU WAKUU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
Michuzi30 Dec
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-n-rIIL3MrJ8/VoQUnkFLd9I/AAAAAAAIPcs/RqLME5atAsg/s72-c/5aa3c565-fa36-40d8-814f-d724ca5285d3.jpg)
NRWS ALERT: RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI ATEUA MAKATIBU WAKUU, MANAIBU MAKATIBU WAKUU NA KAIMU NAIBU KAMISHNA TRA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM JIONI HII
![](http://2.bp.blogspot.com/-n-rIIL3MrJ8/VoQUnkFLd9I/AAAAAAAIPcs/RqLME5atAsg/s640/5aa3c565-fa36-40d8-814f-d724ca5285d3.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-dRJDYAbSj3Q/VoQUnohdZdI/AAAAAAAIPcw/qTZogrLDFvE/s640/3f2db09b-3664-47b9-a1f6-28552e5e5984.jpg)