Singida yaanza kusaka maduka yanayouza kiholela dawa za kutolea mimba
Idara ya afya katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida imeanza kufanya msako mkali kwenye maduka yanayouza kiholela dawa za kutoa mimba pamoja na zile za kuongeza nguvu za kiume.
Uamuzi huo umefikiwa baada ya kubainika kuwa kati ya vifo 10 vya uzazi vilivyotokea katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Agosti mwaka huu vingi vimesababishwa na wahusika kujaribu kutoa mimba kwa kutumia dawa walizonunua kiholela madukani suala ambalo ni kinyume cha sheria.
Ni katika kipindi ambacho Tanzania...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziPOLISI YAAGIZWA KUSAKA DAWA ZA SERIKALI ZENYE NEMBO YA MSD KATIKA MADUKA YANAYOUZA DAWA BARIDI NCHINI KOTE.

5 years ago
Michuzi
SERIKALI KUANZISHA KLINIKI SHIKIZI NNE ZA KUTOLEA HUDUMA ZA METHADONE KWA WAATHIRIKA WA DAWA ZA KULEVYA
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto iko mbioni kuanzisha huduma shikizi za tiba ya methadone kwa waathirika wa madawa ya kulevya ya Heroine.
Hayo yamesemwa na Dkt. Erasmus Mndeme Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Rufaa ya Kitaifa ya Magonjwa ya Akili - Milembe alipokuwa akiwasilisha taarifa ya huduma za tiba kwa waathirika wa madawa ya kulevya kupitia dawa ya methadone na utekelezaji wa majukumu ya Kituo cha kuhudumia...
11 years ago
Habarileo28 Jan
Maduka 50 ya dawa muhimu yafungwa
MADUKA zaidi ya 50 ya dawa muhimu katika Manispaa ya Dodoma, yamefungwa kutokana na kuendeshwa bila kuzingatia sheria na taratibu huku baadhi yake yakituhumiwa kujihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Kufungwa kwa maduka hayo kunafuatia zoezi la kushtukiza la kukagua lililoendeshwa na Baraza la Famasi Nchini kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa Dodoma.
9 years ago
Habarileo13 Nov
Maduka ya dawa karibu na hospitali kuondolewa
SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho kuanzisha maduka ya dawa katika hospitali zake zisizokuwa nayo na kuweka maduka mapya ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD), hatua itakayohakikisha dawa zinapatikana katika hospitali hizo.
10 years ago
Mwananchi24 Dec
MSD kufungua maduka ya dawa mitaani
9 years ago
Mtanzania13 Nov
Maduka ya dawa nje ya hospitali kufungwa
CHRISTINA GAULUHANGA NA ADAM MKWEPU, DAR ES SALAAM
SERIKALI imesema ipo hatua za mwisho kufunga maduka ya dawa yanayozunguka hospitali zake na vituo vya afya ili kupunguza mgongano wa kimasilahi na wizi wa dawa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dk. Donald Mmbando, alisema tayari wameandaa utaratibu maalumu na shirikishi wa maduka ya dawa ambayo rasimu hiyo ipo hatua za mwisho na atakabidhiwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, atakayeteuliwa kwa ajili ya...
10 years ago
Mwananchi20 Jun
Utitiri wa maduka ya dawa tatizo nchini
9 years ago
Mwananchi03 Dec
Maduka ya dawa karibu na hospitali kutofungwa
11 years ago
Mwananchi21 Jul
Simba yaanza kusaka mrithi wa Logarusic