Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bei ya bidhaa yapanda Zanzibar

Hali ya uchumi Zanzibar inazidi kudorora huku bei za bidhaa zikizidi kupanda kutokana na meli zinazosafirisha bidhaa hizo kutoka Tanzania Bara kupunguza safari zake kutokana na hali ya kisiasa iliyopo hapa Zanzibar.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Bidhaa zapanda bei Zanzibar

WANANCHI wengi wa Zanzibar wanalazimika kutumia fedha za ziada kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali za lazima ikiwemo chakula baada ya bei ya bidhaa muhimu kupanda bei, imebainika.

 

5 years ago

StarTV

Bei ya nafaka yapanda Mbeya.

BEI ya mazao aina ya nafaka katika baadhi ya masoko jijini Mbeya imepanda ikilinganishwa na bei za mazao hayo katika kipindi cha miezi miwili iliyopita. Nafaka zilizopanda bei ni pamoja na zile zinazo Ltumiwa na wananchi walio wengi katika maisha ya kila siku yakiwemo Maharagwe, Mahindi na Mchele ambazo kwa mujibu wa wafanyabiashara, bidhaa hizo …

 

9 years ago

Mwananchi

Bei ya nyama Dodoma, Dar yapanda

Wafanyabiashara wa nyama ya ng’ombe katika Manispaa ya Dodoma, wametangaza kupandisha bei ya nyama ya ng’ombe kutoka Sh6,000 hadi Sh7,000 kwa kilo moja.

 

10 years ago

Mwananchi

Bei yapanda ghafla katika maduka ya jumla na rejareja

Kumeibuka sintofahamu miongoni mwa wananchi na wafanyabiashara wa maduka ya rejareja baada ya bei ya sukari kupanda ghafla na kufikia Sh80,000 kwa mfuko wa kilo 50.

 

11 years ago

Tanzania Daima

RC ataka bidhaa kutopandishwa bei

MKUU wa Mkoa (RC) wa Iringa, Dk. Christine Ishengoma, amewataka wafanyabiashara mkoani hapa kuacha kupandisha bei ya vyakula katika kipindi hiki cha Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya, na kwamba...

 

10 years ago

StarTV

Bei za vyakula, bidhaa Dar zapanda.

Na Epiphania Magingo,

Dar es Salaam.

 

Zikiwa zimesalia siku chache za kusherehekea sikukuu za Krismas na mwaka mpya, bei za vyakula na bidhaa mbalimbali jijini Dar es Salaam zimeonekana kupanda kwa kasi na kufanya wanunuzi wengi kushindwa kununua bidhaa hizo.

 

Changamoto hii imekuwa ikionekana kila inapokaribia msimu wa sikukuu kubwa ambayo licha ya kukemewa lakini imeendelea kujitokeza na kuwa tatizo sugu linalowaathiri wananchi wengi.

 

Ni katika soko la Kariakoo Jijini Dar es Salaam,...

 

11 years ago

Habarileo

RC aonya watakaopaisha bei za bidhaa mwezi mtukufu

Dk Rehema NchimbiMKUU wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehema Nchimbi amewataka wafanyabiashara mkoani hapa kutopandisha bei ya bidhaa katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.

 

10 years ago

Mwananchi

Krismasi yaanza kubadili bei za bidhaa sokoni

Maandalizi ya sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya yameanza kusababisha mabadiliko katika bei za bidhaa mbalimbali kwenye masoko ya jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo ya msingi ya kuzingatia katika upangaji bei za bidhaa

Mara nyingi wajasiriamali wamekuwa wakipata changamoto mbalimbali katika upangaji bei za bidhaa zao au huduma wanazozitoa. Matokeo yake wamekuwa wakipanga bei ambazo hazina uhalisia katika dunia yao ya kufanyia biashara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani