Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Krismasi yaanza kubadili bei za bidhaa sokoni

Maandalizi ya sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya yameanza kusababisha mabadiliko katika bei za bidhaa mbalimbali kwenye masoko ya jijini Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI IMEWATAKA WANAOUZA BIDHAA ZA KUJIKINGA DHIDI YA CORONA-19, KUUZA KWA BEI ILIYOKO SOKONI

   Na. Mwandishi Wetu-MAELEZOSerikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto na Taasisi mbalimbali za Serikali imejipanga vyema kukabiliana na changamoto zinazohusiana na mapambano dhidi ya mlipuko wa ugonjwa wa Corona (Covid-19).
Katika kuhakikisha changamoto hizo zinatatuliwa jana Waziri Innocent Bashungwa ametembelea viwanda vinavyozalisha sabuni na Vitakasa mikono vilivyoko Jijini Dar es Salaam kuangalia bei ya bidhaa hiyo na...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali Imewataka wanaouza Bidhaa za Kujikinga dhidi ya Covid-19, Kuuza kwa Bei iliyoko Sokoni


Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari(hawapo pichani), kuhusu bidhaa za kujinga na Covid-19, ambapo baadhi ya wafanyabiashara wamekuwa wakipandisha bei, Waziri amewataka waache hiyo tabia kabla ya kuchukuliwa hatua kali, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TBS. Dkt. Ngenya, na kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Ushindani (FCC), John Mduma katika mkutano na Waanshi wa Habari Jijini Dar es Salaam.

 ========  ========  =======
Serikali kupitia...

 

11 years ago

Mwananchi

Waruhusiwa kuingiza bidhaa sokoni

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Mezzan Oil, Cuthbert Sawe ameshukuru Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kuruhusu bidhaa za kampuni hiyo kuingia sokoni baada ya kuridhika na viwango vya ubora. Alisema baada ya kuthibitisha ubora wa vilainishi

 

10 years ago

Mwananchi

Waziri atoa siku 14 bidhaa feki kuondolewa sokoni

Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Abdallah Kigoda amevipa siku 14 viwanda vinavyozalisha bidhaa zilizo chini ya kiwango kuziondoa sokoni sambamba na kuujulisha umma namna watakavyoziharibu na kuziteketeza.

 

9 years ago

StarTV

Mbeya, Njombe yaanza majadiliano kubadili pori la mpanga.

Mikoa ya Mbeya na Njombe kupitia vikao vya Kamati za Ushauri RCC itaanza mchakato wa mashauriano yanayolenga kuupima kwa mara nyingine mpango wa kulibadili pori la akiba la Mpanga Kipengere kuwa Hifadhi ya Taifa.

Hivi sasa Miaka mitano iliyopia wadau wa maeneo hayo walijadili na kuona umuhimu wa pori hilo kubadilishwa na kuwa hifadhi ya Taifa na kazi hiyo iliwekwa katika andiko la Mradi wa Kuboresha mtandao wa maeneo yaliyohifadhiwa kusini mwa Tanzania SPANEST.

Hata hivyo, ni miaka mitatu...

 

9 years ago

Michuzi

TANAPA YAANZA KUBADILI MFUMO WA UTENDAJI KUTOKA KIRAIA KWENDA JESHI USU

Shirika la Hifadhi za Taifa limeanza rasmi kutumia mfumo wa jeshi usu kutoka ule wa kiraia katika utendaji kazi wake ikiwa ni hatua mojawapo ya kuongeza ufanisi katika shughuli za uhifadhi. 
Jumla ya wahifadhi 40 walihitimu mafunzo ya Awamu ya kwanza ya kubadili mfumo wa utendaji kazi kutoka ule wa kiraia kwenda wa jeshi usu kwa kwa viongozi maafisa wa ngazi ya kati “Transformation Leadership Course for Middle Cadre Wardens” yaliyofanyika katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi hivi karibuni. 
Mfumo...

 

10 years ago

Michuzi

Wasira aagiza wadau wa Sukari kuingiza sokoni bidhaa hiyo badala ya kuifungia ghalani

 Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mhe Stephen Masatu Wasira amekutana na wadau wa sukari na kutoa tamko la serikali kuhusiana na kupanda kwa ya sukari hapa nchini. Mhe Wasira amewaagiza wazalishaji na wafanya biashara wa sukari hapa nchini kuingiza sukari sokoni badala ya kuiweka kwenye maghala ili kushusha bei ya bidhaa hiyo muhimu  Agizo hili la waziri limekuja muda mfupi baada ya kupanda ghafla kwa bei ya sukari kutoka shilingi 1700/= iliyokuwa ikiuzwa awali hadi shilingi 3000 kwa...

 

10 years ago

GPL

WASIRA AAGIZA WADAU WA SUKARI KUINGIZA SOKONI BIDHAA HIYO BADALA YA KUIFUNGIA GHALANI

Wazalishaji na wafanyabiashara wa sukari wakimsikiliza kwa makini maamuzi ya serikali  kuhusu bei ya sukari. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Stephen Wasira na Naibu wake (kushoto) Mh.Godfrey Zambi, Bi. Sophia Kaduma Katibu Mkuu (kulia) na Dkt.Yamungu Kayandabila (kushoto) wakifuatilia kwa makini mjadala baina yao na wazalishaji na wafanyabiashara wa sukari… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani