Wasira aagiza wadau wa Sukari kuingiza sokoni bidhaa hiyo badala ya kuifungia ghalani
![](http://4.bp.blogspot.com/-rOupGOl8G-U/VNw0WXwIh9I/AAAAAAAHDPA/4h6EAezEPGk/s72-c/unnamed%2B(1).jpg)
Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mhe Stephen Masatu Wasira amekutana na wadau wa sukari na kutoa tamko la serikali kuhusiana na kupanda kwa ya sukari hapa nchini. Mhe Wasira amewaagiza wazalishaji na wafanya biashara wa sukari hapa nchini kuingiza sukari sokoni badala ya kuiweka kwenye maghala ili kushusha bei ya bidhaa hiyo muhimu Agizo hili la waziri limekuja muda mfupi baada ya kupanda ghafla kwa bei ya sukari kutoka shilingi 1700/= iliyokuwa ikiuzwa awali hadi shilingi 3000 kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sRY-hG6lRQ-7-ByR5t2kDW51B0pganxbe1K0qw6o8PVg*Hr-NSsDt*T85kyVmARMnrzISmYwqyYrzW4u4udWxy7rQIXLzZtP/unnamed1.jpg?width=650)
WASIRA AAGIZA WADAU WA SUKARI KUINGIZA SOKONI BIDHAA HIYO BADALA YA KUIFUNGIA GHALANI
10 years ago
StarTV13 Feb
Wazalishaji, wasambazaji waaswa kuingiza Sukari sokoni
Na Neema Ndetto,
Dar es Salaam
Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imewaagiza wazalishaji na wasambazaji wakubwa wa sukari nchini kuingiza Sukari sokoni na kuhakikisha inapatikana kwa bei ambayo watanzania wanaweza kuimudu.
Maagizo hayo yametolewa baada ya Serikali kuzuia sukari ya nje kuuzwa hapa nchini hali iliyosababisha kupanda kwa bei ya sukari kati ya shilingi 2500 hadi 3000.
cialis nitrato
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Kilimo,...
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Waruhusiwa kuingiza bidhaa sokoni
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Goshashy kuingiza sokoni ‘Pepeto’
MWANAMUZIKI wa nyimbo za Injili, Ruben Goshashy, anatarajiwa kuingiza sokoni albamu mpya ya nyimbo za injili itakayokwenda kwa jina la ‘Pepeto’ ambayo inazungumzia jinsi maisha yanavyobadilika kutoka kwenye anasa hadi...
10 years ago
Habarileo03 Nov
Tanzania kuingiza hewa ya ukaa sokoni
WIZARA ya Maliasili na Utalii imeahidi kuiingiza Tanzania katika biashara ya kimataifa ya uuzaji wa hewa ya ukaa duniani kama moja ya kipato kipya kwa serikali pamoja na wananchi mmoja mmoja.
11 years ago
Bongo521 Jul
Tudd Thomas afuata nyayo za Dr. Dre, kuingiza sokoni headphone zake ‘TTP’
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA TANGA LAMSHIKILIA MKAZI WA KIJIJI CHA KIGOMBE KWA KUINGIZA BIDHAA ZA MAGENDO
JESHI la Polisi Mkoani Tanga linamshikilia mkazi wa Kijiji cha Kigombe Kata ya Kigombe wilayani Muheza mkoani Tanga ambaye aliyeshirikiana na wenzake ambao walikimbia wakiwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5ddBPD_USjo/XsfoizyKFQI/AAAAAAALrTU/Nr0bwD6eJLo1cvUpva90JK1HJWpzckJbwCLcBGAsYHQ/s72-c/NJOMBE.jpg)
DC Msafiri aagiza vyombo vya ulinzi kufuatilia bei elekezi ya Sukari
Na Amiri kilagalila,Njombe
Serikali wilayani Njombe imeagiza wafanyabishara wa Sukari wilayani humo kuzingatia bei elekezi iliyopangwa na serikali kufuatwa katika mkoa huo ili kudhibidi mlipuko na wizi unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara.
Ili kudhibiti kasi ya ongezeko la bei ya sukari nchini serikali imepanga bei ya sukari kwa kila mkoa kulingana na mazingira na mahitaji kwa kuzingatia sherikali sheria ya Sukari No 26 ya Mwaka 2001(Cap. 251) chini ya kifungu cha 11A ambayo imeutaka...
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Krismasi yaanza kubadili bei za bidhaa sokoni