Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazalishaji, wasambazaji waaswa kuingiza Sukari sokoni

Na Neema Ndetto,

Dar es Salaam

 

Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imewaagiza wazalishaji na wasambazaji wakubwa wa sukari nchini kuingiza Sukari sokoni na kuhakikisha inapatikana kwa bei ambayo watanzania wanaweza kuimudu.

 

Maagizo hayo yametolewa baada ya Serikali kuzuia sukari ya nje kuuzwa hapa nchini hali iliyosababisha kupanda kwa bei ya sukari kati ya shilingi 2500 hadi 3000.

cialis nitrato

 

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Kilimo,...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WASIRA AAGIZA WADAU WA SUKARI KUINGIZA SOKONI BIDHAA HIYO BADALA YA KUIFUNGIA GHALANI

Wazalishaji na wafanyabiashara wa sukari wakimsikiliza kwa makini maamuzi ya serikali  kuhusu bei ya sukari. Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Stephen Wasira na Naibu wake (kushoto) Mh.Godfrey Zambi, Bi. Sophia Kaduma Katibu Mkuu (kulia) na Dkt.Yamungu Kayandabila (kushoto) wakifuatilia kwa makini mjadala baina yao na wazalishaji na wafanyabiashara wa sukari… ...

 

10 years ago

Michuzi

Wasira aagiza wadau wa Sukari kuingiza sokoni bidhaa hiyo badala ya kuifungia ghalani

 Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mhe Stephen Masatu Wasira amekutana na wadau wa sukari na kutoa tamko la serikali kuhusiana na kupanda kwa ya sukari hapa nchini. Mhe Wasira amewaagiza wazalishaji na wafanya biashara wa sukari hapa nchini kuingiza sukari sokoni badala ya kuiweka kwenye maghala ili kushusha bei ya bidhaa hiyo muhimu  Agizo hili la waziri limekuja muda mfupi baada ya kupanda ghafla kwa bei ya sukari kutoka shilingi 1700/= iliyokuwa ikiuzwa awali hadi shilingi 3000 kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Wazalishaji sukari watishia kufunga viwanda

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher ChizaWAZALISHAJI wa sukari nchini wametishia kufunga viwanda vyao iwapo Serikali itashindwa kuchukua uamuzi sahihi utakaosaidia kunusuru viwanda vya ndani kwa manufaa ya sera ya kukuza uchumi wa wananchi na taifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Goshashy kuingiza sokoni ‘Pepeto’

MWANAMUZIKI wa nyimbo za Injili, Ruben Goshashy, anatarajiwa kuingiza sokoni albamu mpya ya nyimbo za injili itakayokwenda kwa jina la ‘Pepeto’ ambayo inazungumzia jinsi maisha yanavyobadilika kutoka kwenye anasa hadi...

 

11 years ago

Mwananchi

Waruhusiwa kuingiza bidhaa sokoni

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Mezzan Oil, Cuthbert Sawe ameshukuru Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kuruhusu bidhaa za kampuni hiyo kuingia sokoni baada ya kuridhika na viwango vya ubora. Alisema baada ya kuthibitisha ubora wa vilainishi

 

10 years ago

Habarileo

Tanzania kuingiza hewa ya ukaa sokoni

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mahmoud MgimwaWIZARA ya Maliasili na Utalii imeahidi kuiingiza Tanzania katika biashara ya kimataifa ya uuzaji wa hewa ya ukaa duniani kama moja ya kipato kipya kwa serikali pamoja na wananchi mmoja mmoja.

 

11 years ago

Bongo5

Tudd Thomas afuata nyayo za Dr. Dre, kuingiza sokoni headphone zake ‘TTP’

Producer wa single mpya za Diamond ‘Mdogo mdogo’ na ‘Ndagushima’ ya Ommy Dimpoz, Tudd Thomas ameweka wazi kuhusu mradi wake mpya wa headphones zitakazokuwa na brand ya Beats By Thomas TTP, yaani ‘Tudd Thomas Production’. Akizungumza na tovuti ya TIMES FM, Thomas ameelezea jinsi wazo la mradi huo ambao uko jikoni lilivyozaliwa: “Wakati mimi naanza […]

 

9 years ago

Michuzi

RC Makalla atembelea kiwanda cha sukari TPC, akerwa na sukari inayoingia kwa wingi kutoka nje

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Amos Makalla akiwa kwenye ukaguzi wa kiwanda cha sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani humo, kama sehemu ya kuangalia hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. Picha na Mpigapicha wetu.
Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara katika kiwanda cha Sukari cha TPC kilichopo Moshi, mkoani Kilimanjaro ili kujionea hali ya uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho. RC Makalla alijionea hali halisi ya kiwanda hicho ambacho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani