Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazalishaji sukari watishia kufunga viwanda

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher ChizaWAZALISHAJI wa sukari nchini wametishia kufunga viwanda vyao iwapo Serikali itashindwa kuchukua uamuzi sahihi utakaosaidia kunusuru viwanda vya ndani kwa manufaa ya sera ya kukuza uchumi wa wananchi na taifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Watishia kufunga viwanda vya bia na vya pombe kali

Watengenezaji wa bia na vinywaji vikali, wametishia kufunga baadhi ya viwanda iwapo Serikali haitaipunguza ongezeko la kodi la asilimia 20 iliyolipishwa kinyume na tozo ya asilimia 10 iliyopitishwa na Bunge.

 

10 years ago

StarTV

Wazalishaji, wasambazaji waaswa kuingiza Sukari sokoni

Na Neema Ndetto,

Dar es Salaam

 

Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika imewaagiza wazalishaji na wasambazaji wakubwa wa sukari nchini kuingiza Sukari sokoni na kuhakikisha inapatikana kwa bei ambayo watanzania wanaweza kuimudu.

 

Maagizo hayo yametolewa baada ya Serikali kuzuia sukari ya nje kuuzwa hapa nchini hali iliyosababisha kupanda kwa bei ya sukari kati ya shilingi 2500 hadi 3000.

cialis nitrato

 

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Kilimo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watishia kufunga lango la Ngorongoro

MADIWANI wa Halmashauri ya Ngorongoro mkoani Arusha, wameitaka serikali kutekeleza ahadi yake ya kupeleka chakula kwa wakazi wa Tarafa ya Ngorongoro ambao wanakabiliwa na njaa hivi sasa ili kuzuia mpango...

 

10 years ago

Mwananchi

Tanga watishia kufunga maduka kugomea EFD

Wafanyabiashara wadogo mjini hapa wametishia kufunga maduka yao iwapo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) itaendelea kushinikiza matumizi ya Mashine za Kielektroniki za Kutoa Risiti (EFD)

 

11 years ago

Mwananchi

Wafugaji sasa watishia kufunga mnada Dumila

Migogoro ya ardhi wilayani Kilosa, Morogoro, itaikosesha mapato halmashauri ya wilaya hiyo, baada ya wafugaji kuazimia kutouza mifugo yao kwenye mnada mkubwa wa mifugo wa Dumila na badala yake kuhamishia shughuli hizo huko Mikongeni katika Barabara ya Morogoro-Dodoma, wilayani Mvomero.

 

10 years ago

Mwananchi

Viwanda vya sukari visipolindwa vitakufa

Limejitokeza tatizo kubwa hivi sasa kwa viwanda vyetu vya sukari nchini kuzalisha kiasi kikubwa cha sukari ambacho hakina soko.

 

10 years ago

Michuzi

JUKATA WATAJA MAADUI WAWILI WA KATIBA MPYA, WATISHIA KWENDA DODOMA KUFUNGA MILANGO YA BUNGE

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania JUKATA Deusi Kibamba akizungumza na wanahabari leo jijini dar es salaam juu ya mchakato huo wa katiba mpya. Jukwaa la katiba Tanzania (JUKATA) leo wamemtaja mwenyekiti wa  bunge maalum la katiba mh SAMWELI SITTA  pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali mh JAJI  FREDRICK WEREMA kuwa ndio maadui wapya wawili wakubwa wa mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya.Akizungumza na wanahabari jiji ni Dar es salaam mwenyekiti wa JUKATA ndugu DEUCE KIBAMBA amesema...

 

9 years ago

Mtanzania

Sukari kutoka nje inavyoua viwanda vya nchini

MTZ UCHUMI HII SAFI.inddMTZ UCHUMI HII SAFI.indd>>TPC wataka itozwe kodi ya asilimia 100

NA UPENDO MOSHA, MOSHI

TANZANIA ni miongoni mwa nchi zinazoendelea Afrika kupitia sekta mbalimbali za kiuchumi vikiwemo viwanda.
Licha ya umuhimu wa viwanda hivyo bado kumekuwa hakuna sera madhubuti zinazolenga kuboresha na kuendeleza
viwanda vya ndani.

Sekta hiyo bado inakabiliwa na changamoto nyingi kiasi cha kuchelewesha malengo yaliokusudiwa ya kukuza uchumi na maisha bora kwa wananchi wake.

Sera zilizopo zinaruhusu kuuzwa kwa bidhaa mbalimbali...

 

10 years ago

Michuzi

NJIA ZA "PANYA" ZA SUKARI ZINAUA VIWANDA VYA NDANI - ZITTO KABWE

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC),Mh. Zitto Kabwe (wa tatu kulia) akizungumza wakati akiongoza kikao cha Kamati yake na Uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kilichofanyika kwenye ofisi ndogo za Bunge,Jijini Dar es salaam leo.Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),Rished Bade akizungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma (PAC) na  Uongozi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kilichofanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani