Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafugaji sasa watishia kufunga mnada Dumila

Migogoro ya ardhi wilayani Kilosa, Morogoro, itaikosesha mapato halmashauri ya wilaya hiyo, baada ya wafugaji kuazimia kutouza mifugo yao kwenye mnada mkubwa wa mifugo wa Dumila na badala yake kuhamishia shughuli hizo huko Mikongeni katika Barabara ya Morogoro-Dodoma, wilayani Mvomero.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Sakata la ardhi Loliondo: Wafugaji sasa watishia kuinyima kura CCM

Mwenyekiti wa Halmashauri ya CCM Wilaya ya Ngorongo, Mkoa wa Arusha, pamoja na madiwani wake wamesema wamechoka kwa vitendo vya usumbufu, unyanyasaji na kuishi maisha yasiyoeleweka kufuatia hatua ya Waziri wa Maliasili na Utalii kutaka kutwaa ardhi yao.

Wamesema malengo hayo ya waziri yakitekelezwa wapo tayari kurudisha kadi zote za CCM na kuwaeleza wananchi wao katu wasiwapigie kura wagombea wote wa chama hicho.

Walisema serikali kupitia Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watishia kufunga lango la Ngorongoro

MADIWANI wa Halmashauri ya Ngorongoro mkoani Arusha, wameitaka serikali kutekeleza ahadi yake ya kupeleka chakula kwa wakazi wa Tarafa ya Ngorongoro ambao wanakabiliwa na njaa hivi sasa ili kuzuia mpango...

 

10 years ago

Habarileo

Wazalishaji sukari watishia kufunga viwanda

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher ChizaWAZALISHAJI wa sukari nchini wametishia kufunga viwanda vyao iwapo Serikali itashindwa kuchukua uamuzi sahihi utakaosaidia kunusuru viwanda vya ndani kwa manufaa ya sera ya kukuza uchumi wa wananchi na taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Tanga watishia kufunga maduka kugomea EFD

Wafanyabiashara wadogo mjini hapa wametishia kufunga maduka yao iwapo Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) itaendelea kushinikiza matumizi ya Mashine za Kielektroniki za Kutoa Risiti (EFD)

 

10 years ago

Michuzi

JUKATA WATAJA MAADUI WAWILI WA KATIBA MPYA, WATISHIA KWENDA DODOMA KUFUNGA MILANGO YA BUNGE

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania JUKATA Deusi Kibamba akizungumza na wanahabari leo jijini dar es salaam juu ya mchakato huo wa katiba mpya. Jukwaa la katiba Tanzania (JUKATA) leo wamemtaja mwenyekiti wa  bunge maalum la katiba mh SAMWELI SITTA  pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali mh JAJI  FREDRICK WEREMA kuwa ndio maadui wapya wawili wakubwa wa mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya.Akizungumza na wanahabari jiji ni Dar es salaam mwenyekiti wa JUKATA ndugu DEUCE KIBAMBA amesema...

 

11 years ago

Mwananchi

Watishia kufunga viwanda vya bia na vya pombe kali

Watengenezaji wa bia na vinywaji vikali, wametishia kufunga baadhi ya viwanda iwapo Serikali haitaipunguza ongezeko la kodi la asilimia 20 iliyolipishwa kinyume na tozo ya asilimia 10 iliyopitishwa na Bunge.

 

11 years ago

GPL

OTILIA SASA KUFUNGA NDOA BOMANI

Stori: Gladness Mallya
JAPOKUWA Mnenguaji wa Bendi ya Extra Bongo, Otilia Boniface alibadili dini na kuwa Muislamu baada ya kupata mchumba ambaye ni muumini wa dini hiyo, imebainika anatarajia kufunga ndoa ya bomani kutokana na ndugu zake kutoridhika na uamuzi wake wa awali. Mnenguaji wa Bendi ya Extra Bongo, Otilia Boniface Rafiki wa karibu wa Otilia aliyeomba hifadhi ya jina alisema kuwa, mnenguaji huyo aliyepata mchumba...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali sasa kutenga maeneo ya wafugaji nchini

Kutokana na kushamiri kwa migogoro kati ya wakulima na wafugaji Serikali imetenga hekta 1,349,132.50 kwa ajili ya wafugaji katika vijiji 543 vilivyopo katika wilaya 75 zilizopo katika mikoa 21 nchini.

 

10 years ago

Mwananchi

Wafugaji samaki sasa wapewa somo la ufugaji bora nchini

Wafugaji wa samaki nchini wametakiwa kuacha ufugaji wa mazoea ambao huwasababishia hasara, na badala yake washirikiane na wataalumu kubaini mbegu bora na zinazofaa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani