Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafugaji samaki sasa wapewa somo la ufugaji bora nchini

Wafugaji wa samaki nchini wametakiwa kuacha ufugaji wa mazoea ambao huwasababishia hasara, na badala yake washirikiane na wataalumu kubaini mbegu bora na zinazofaa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

ULEGA AWAHAKIKISHIA WAFUGAJI WA SAMAKI KUENDELEA KUBORESHA ZAIDI MAZINGIRA BORA YA UFUGAJI

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akizungumza katika Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali,Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Mkoa wa Shinyanga.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog 
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amewahakikishia wafugaji wa samaki nchini kuwa Serikali itaendelea kuweka mazingira bora ya kuwawezesha wafugaji kufuga samaki.  Mhe. Ulega ameyasema hayo Februari 26,2020 kwenye Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali, Wafanyabiashara na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wauguzi nchini wapewa somo

WAUGUZI nchini wametakiwa kufahamu kuwa wao ni nguzo muhimu katika sekta ya afya na kufanya kazi kwa uaminifu na uadilifu, ili waweze kukumbukwa na jamii pindi watakapostaafu. Kauli hiyo ilitolewa...

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali sasa kutenga maeneo ya wafugaji nchini

Kutokana na kushamiri kwa migogoro kati ya wakulima na wafugaji Serikali imetenga hekta 1,349,132.50 kwa ajili ya wafugaji katika vijiji 543 vilivyopo katika wilaya 75 zilizopo katika mikoa 21 nchini.

 

5 years ago

Michuzi

Ufugaji wa Samaki ni neema Njombe

Na Amiri kilagalila,Njombe Wafugaji wa samaki mkoani Njombe wametakiwa kuwekeza zaidi katika ufugaji huo kufuatia utafiti kuonyesha fursa kubwa ya zao  hilo kwa aina ya Kambale, Sato na Perege Kwa muda mrefu wakazi wa mkoa wa Njombe wamekuwa hawafugi samaki katika baadhi ya maeneo kwa kuhofia hali ya hewa ya baridi ambapo Niko Msigwa mkulima wa kijiji cha Kinenulo ameanza kunufaika na ufugaji wa huo Biashara ya samaki mkoani Njombe imekuwa na soko la ndani la uhakika na ndio sababu iliyo...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

SMZ kuimarisha ufugaji wa samaki


NA MWANDISHI MAALUMU, ZANZIBAR
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema azma yake ya kuimarisha ufugaji wa samaki nchini inatekelezwa kikamilifu na itaendelea kutoa mafunzo na huduma kwa wananchi ili wajiimarishe kiuchumi na kuchangia pato la taifa.
Rais wa Zanzibar, Dk, Ali Mohamed Sheni, alisema hayo juzi alipozungumza na vikundi vya ushirika wa ufugaji samaki vya Hakiliki katika eneo la Mwambe, Wilaya ya Mkoani na Siri Salt and Fish Farm cha Pujini, wilayani Chakechake.
Alisema serikali...

 

11 years ago

Habarileo

SMZ yapania kuendeleza ufugaji samaki

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema ili kuhakikisha azma yake ya kuimarisha ufugaji wa samaki nchini inatekelezwa, itaendelea kutoa mafunzo na huduma mbalimbali kwa wananchi ili waweze kutumia fursa hiyo kujiimarisha kiuchumi na kuchangia pato la taifa.

 

10 years ago

Michuzi

MHE. KAMANI AZINDUA MRADI WA UFUGAJI WA SAMAKI NDANI YA ZIWA VICTORIA

Mgeni Rasmi Waziri wa Maendeleao ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (MB) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji wa Samaki ndani ya Ziwa Viktoria Kiteule cha Bulamba kwa kutumia teknolojia mpya ya vizimba (Cages). Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe.John Henjewele, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael M. Muhuga.Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani akipandikiza...

 

11 years ago

Michuzi

Wafugaji wa Ng,ombe Chato Watakiwa Kuachana na Ufugaji wa Mazoea

Na Richard Bagolele-Chato.
Wafugaji wa Ngo’ombe Wilayani Chato mkoani Geita wameaswa kuachana na ufugaji wa mazoea na badala yake wafuge kisasa zaidi. Wito huo umetolewa leo Wilayani hapa na Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhe. Rodrick Mpogolo wakati akifungua  kikao cha pamoja na wafugaji wa Ng’ombe na wataalam wa mifugo ambacho pia kilidhuriwa na mwekezaji wa kiwanda cha kusindika nyama kutoka jijini Mwanza cha Chobo Investiment.
Mkuu wa Wilaya ya Chato amesema wafugaji wengi nchini wamekuwa...

 

10 years ago

Michuzi

SOMO LA UFUGAJI: UZURI WA MAYAI YA KWARE KAMA CHAKULA


Katika siku za hivi karibuni ndege aitwae kware ameanza kuwa ndege maarufu katika baadhi ya wafugaji katika nchi yetu na kwa wale ambao walikuwa wakiwawinda porini enzi hizo bado wana imani kuwa ndege huyu hawezi kufungwa kama hatakimbia basi atajiua, lakini kwa wale wanaotaka kumfuga ndege huyu mdogo mwenye mayai matamu ya madoa doa wanaweza sasa inaweza kugeuka chanzo cha mapato na sehemu ya chakula bora kwa familia.

Leo ningependa niingie ndani kuwa nini hasa tofauti ya mayai ya kware na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani