Wafugaji wa Ng,ombe Chato Watakiwa Kuachana na Ufugaji wa Mazoea
![](http://2.bp.blogspot.com/-LwyxPPsl1wU/U5gWGdiSyqI/AAAAAAAFpu0/UKMeJ_FWha4/s72-c/01.jpg)
Na Richard Bagolele-Chato.
Wafugaji wa Ngo’ombe Wilayani Chato mkoani Geita wameaswa kuachana na ufugaji wa mazoea na badala yake wafuge kisasa zaidi.
Wito huo umetolewa leo Wilayani hapa na Mkuu wa Wilaya ya Chato Mhe. Rodrick Mpogolo wakati akifungua kikao cha pamoja na wafugaji wa Ng’ombe na wataalam wa mifugo ambacho pia kilidhuriwa na mwekezaji wa kiwanda cha kusindika nyama kutoka jijini Mwanza cha Chobo Investiment.
Mkuu wa Wilaya ya Chato amesema wafugaji wengi nchini wamekuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Wafugaji samaki sasa wapewa somo la ufugaji bora nchini
5 years ago
MichuziULEGA AWAHAKIKISHIA WAFUGAJI WA SAMAKI KUENDELEA KUBORESHA ZAIDI MAZINGIRA BORA YA UFUGAJI
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amewahakikishia wafugaji wa samaki nchini kuwa Serikali itaendelea kuweka mazingira bora ya kuwawezesha wafugaji kufuga samaki. Mhe. Ulega ameyasema hayo Februari 26,2020 kwenye Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali, Wafanyabiashara na...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Wafugaji watozwa 3,000/- kwa kila ng’ombe
WAFUGAJI wilayani Kilindi, Tanga, wameitaka serikali kuwatendea haki sawa na wakulima katika kuchangia ujenzi wa maabara za shule za sekondari za kata. Wakizungumza na Tanzania Daima jana, wafugaji hao walisema...
9 years ago
Habarileo16 Dec
Wafugaji wakimbia kijiji alikouawa mtu, ng’ombe 71
WAFUGAJI waliovamia maeneo ya wakulima katika kijiji cha Dihinda wilayani Mvomero mkoani Mogorogo na kusababisha mapigano yaliyoua mkulima na ng’ombe 71, wamekimbia kijijini hapo na kutokomea kusikojulikana.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/--VD3gvToaGA/VEeknsxA6nI/AAAAAAAGspU/XXvOXHLSdPE/s72-c/001.jpg)
DR. KAMANI AKABIDHI NG'OMBE 83 WA MAZIWA KWA WAFUGAJI WADOGO
Ng’ombe hao ambao wamenunuliwa kwa mkopo uliotolewa na Covenant Bank wana uwezo wa kuzalisha maziwa zaidi ya Lita 20 kwa siku. Akizungumza na wakazi wa eneo hilo Waziri Kamani ametanabaisha kuwa mikopo ya aina hiyo italeta mapinduzi makubwa katika sekta ya mifugo.
“Kitendo cha...
10 years ago
Tanzania Daima05 Dec
Vijana watakiwa kuachana na vijiwe
VIJANA nchini wametakiwa kuachana na tabia ya kukaa vijiweni bila ya kujishughulisha na kazi yoyote, badala yake watumie fursa zilizopo za ujasirimali ili kujiajiri wao wenyewe na kupambana vilivyo na...
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Vijana Mikumi watakiwa kuachana na ujangili
VIJANA kutoka vijiji 20 vinavyozunguka hifadhi ya taifa ya Mikumi Kilosa mkoani Morogoro wameshauriwa kuacha mara moja kujihusisha na vitendo vya ujangili na badala yake kuunda vikundi vidogo vya ujasiriamali...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MgmrGlA_HTA/U53XTxwFu7I/AAAAAAAFqxI/c4x1QOHqK94/s72-c/unnamed+(28).jpg)
KIKUNDI CHA WAFUGAJI WA NG'OMBE WA KISASA WAAHIDIWA MKOPO NA COVENANT BENKI
![](http://4.bp.blogspot.com/-MgmrGlA_HTA/U53XTxwFu7I/AAAAAAAFqxI/c4x1QOHqK94/s1600/unnamed+(28).jpg)
11 years ago
Dewji Blog15 Jun
Kikundi cha wafugaji wa Ng’ombe wa kisasa wahaidiwa mkopo na Covenant Benki
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya wanawake ya Covenant Bi,Sabetha Mwambenja akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiongea na kikundi cha wafugaji wa Ng’ombe wa kisasa cha Kata ya Somangila kiilichopo Kigamboni jijini Dar es Salaam, kuhusiana na mradi wa ufugaji wa kisasa wa ng’ombe wa maziwa unaovihusisha vikundi vitatu vya kata hiyo ambapo wafugaji hao watapata mkopo wa kuendeleza mradi huo kutoka Covenant benki.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya wanawake ya Covenant Bi. Sabetha...