SMZ kuimarisha ufugaji wa samaki
NA MWANDISHI MAALUMU, ZANZIBAR
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema azma yake ya kuimarisha ufugaji wa samaki nchini inatekelezwa kikamilifu na itaendelea kutoa mafunzo na huduma kwa wananchi ili wajiimarishe kiuchumi na kuchangia pato la taifa.
Rais wa Zanzibar, Dk, Ali Mohamed Sheni, alisema hayo juzi alipozungumza na vikundi vya ushirika wa ufugaji samaki vya Hakiliki katika eneo la Mwambe, Wilaya ya Mkoani na Siri Salt and Fish Farm cha Pujini, wilayani Chakechake.
Alisema serikali...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo12 Jul
SMZ yapania kuendeleza ufugaji samaki
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema ili kuhakikisha azma yake ya kuimarisha ufugaji wa samaki nchini inatekelezwa, itaendelea kutoa mafunzo na huduma mbalimbali kwa wananchi ili waweze kutumia fursa hiyo kujiimarisha kiuchumi na kuchangia pato la taifa.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OVGUPJuKTCc/XuodLT8uq1I/AAAAAAALuPk/ppH-_F58950m4Z45C5lQXXetGX0u2zq8ACLcBGAsYHQ/s72-c/BWAWA.png)
Ufugaji wa Samaki ni neema Njombe
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Wafugaji samaki sasa wapewa somo la ufugaji bora nchini
10 years ago
MichuziMHE. KAMANI AZINDUA MRADI WA UFUGAJI WA SAMAKI NDANI YA ZIWA VICTORIA
11 years ago
Habarileo07 Jun
SMZ kuimarisha maslahi ya majaji, mahakimu
WAZIRI wa Sheria na Katiba, Abubakar Khamis Bakary amesema maslahi ya majaji na mahakimu ikiwemo nyongeza za mishahara yataimarishwa katika mwaka wa fedha 2014-2015 kwa ajili ya kupunguza vishawishi vya rushwa.
10 years ago
Habarileo31 Dec
SMZ kuimarisha vyuo vya amali
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itaimarisha elimu ya vyuo vya amali kuwa bora zaidi kwa lengo la kuwafanya wahitimu wake kuingia katika soko la ajira la sekta binafsi.
5 years ago
MichuziULEGA AWAHAKIKISHIA WAFUGAJI WA SAMAKI KUENDELEA KUBORESHA ZAIDI MAZINGIRA BORA YA UFUGAJI
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amewahakikishia wafugaji wa samaki nchini kuwa Serikali itaendelea kuweka mazingira bora ya kuwawezesha wafugaji kufuga samaki. Mhe. Ulega ameyasema hayo Februari 26,2020 kwenye Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali, Wafanyabiashara na...
10 years ago
Habarileo21 Dec
SMZ kuendelea kuimarisha ubora wa vyuo vikuu
RAIS wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein amesema Serikali itaendelea na wajibu wake wa kuhakikisha kuwepo kwa mazingira mazuri na fursa za kutosha za elimu kwa kuimarisha ubora wa vyuo vikuu viliopo nchini.
5 years ago
MichuziNdege ya mizigo kuimarisha usafirishaji samaki nje ya nchi
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amesema mipango ya Serikali kununua ndege ya mizigo utaimarisha usafirishaji wa minofu ya samaki moja kwa moja kwenda nje ya nchi kutokea uwanja wa ndege wa Mwanza.
Waziri Kamwelwe ameyasema hayo Jumatatu Juni Mosi 2020 jijini Mwanza wakati akifungua mkutano wa kupokea mikakati ya pamoja kuondoa vikwazo na kufanikisha biashara ya usafirishaji minofu ya samaki kwenda nje ya nchi hususani mataifa ya Ulaya ambako kumekuwa na...