Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SMZ yapania kuendeleza ufugaji samaki

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema ili kuhakikisha azma yake ya kuimarisha ufugaji wa samaki nchini inatekelezwa, itaendelea kutoa mafunzo na huduma mbalimbali kwa wananchi ili waweze kutumia fursa hiyo kujiimarisha kiuchumi na kuchangia pato la taifa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

SMZ kuimarisha ufugaji wa samaki


NA MWANDISHI MAALUMU, ZANZIBAR
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imesema azma yake ya kuimarisha ufugaji wa samaki nchini inatekelezwa kikamilifu na itaendelea kutoa mafunzo na huduma kwa wananchi ili wajiimarishe kiuchumi na kuchangia pato la taifa.
Rais wa Zanzibar, Dk, Ali Mohamed Sheni, alisema hayo juzi alipozungumza na vikundi vya ushirika wa ufugaji samaki vya Hakiliki katika eneo la Mwambe, Wilaya ya Mkoani na Siri Salt and Fish Farm cha Pujini, wilayani Chakechake.
Alisema serikali...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yapania uvuvi na ufugaji wa kisasa

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dk Titus KamaniTANZANIA imedhamiria kuanzisha mpango wa ufugaji na uvuvi wa kisasa ili kuiwezesha sekta hiyo kuiingizia taifa pato kubwa.

 

10 years ago

Michuzi

NHC YAPANIA KUENDELEZA MKOA WA RUVUMA

 Uongozi wa Shirika la Nyumba la Taifa na wa wilaya ya Namtumbo ukitoka nje ya Ofisi ya Mkuu hiyo, baada ya kufanya mazungumzo ya kina ya mpango ya kujenga nyumba za gharama nafuu. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Bw.  Nehemia Mchechu na ujumbe wake wakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Bw. Abdulah Lutavi akiwatembeza kwenye eneo lililotengwa na Wilaya hiyo kwa ajili ya kujengewa nyumba na NHC. Shirika la Nyumba litajenga nyumba za gharama nafuu katika halmashauri hiyo...

 

5 years ago

Michuzi

Ufugaji wa Samaki ni neema Njombe

Na Amiri kilagalila,Njombe Wafugaji wa samaki mkoani Njombe wametakiwa kuwekeza zaidi katika ufugaji huo kufuatia utafiti kuonyesha fursa kubwa ya zao  hilo kwa aina ya Kambale, Sato na Perege Kwa muda mrefu wakazi wa mkoa wa Njombe wamekuwa hawafugi samaki katika baadhi ya maeneo kwa kuhofia hali ya hewa ya baridi ambapo Niko Msigwa mkulima wa kijiji cha Kinenulo ameanza kunufaika na ufugaji wa huo Biashara ya samaki mkoani Njombe imekuwa na soko la ndani la uhakika na ndio sababu iliyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Wafugaji samaki sasa wapewa somo la ufugaji bora nchini

Wafugaji wa samaki nchini wametakiwa kuacha ufugaji wa mazoea ambao huwasababishia hasara, na badala yake washirikiane na wataalumu kubaini mbegu bora na zinazofaa.

 

10 years ago

Michuzi

MHE. KAMANI AZINDUA MRADI WA UFUGAJI WA SAMAKI NDANI YA ZIWA VICTORIA

Mgeni Rasmi Waziri wa Maendeleao ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (MB) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji wa Samaki ndani ya Ziwa Viktoria Kiteule cha Bulamba kwa kutumia teknolojia mpya ya vizimba (Cages). Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe.John Henjewele, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Raphael M. Muhuga.Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani akipandikiza...

 

5 years ago

Michuzi

ULEGA AWAHAKIKISHIA WAFUGAJI WA SAMAKI KUENDELEA KUBORESHA ZAIDI MAZINGIRA BORA YA UFUGAJI

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega akizungumza katika Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali,Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Mkoa wa Shinyanga.

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog 
NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdallah Ulega amewahakikishia wafugaji wa samaki nchini kuwa Serikali itaendelea kuweka mazingira bora ya kuwawezesha wafugaji kufuga samaki.  Mhe. Ulega ameyasema hayo Februari 26,2020 kwenye Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali, Wafanyabiashara na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wajumbe wa Chama cha kuendeleza ufugaji Nyuki Tanzania watembelea shamba la Pinda Dodoma

IMGS9249

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaongoza baadhi ya wajumbe wa Chama cha Kuendeleza wafugaji Nyuki Tanzania (TABETO) kukagua shamba lake la Zuzu  siku moja baada ya kuzindua chama hicho mjini Dodoma Oktoba 31, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA KILIMO ULEGA AFUNGUA SHAMBA LA MAFUNZO NA UFUGAJI WA SAMAKI 'BIG FISH FARM' JIJINI DAR

 Naibu Waziri wa  Kilimo Mhe. Abdallah Ulega akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa Shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki (Big Fish Farm) lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Shamba hilo linatumika kwa uzalishaji na kufundishia jinsi ya kilimo cha ufugaji wa samaki aina ya Kambale na Sato. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.  Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe. balozi Jeroen Verheul akizungumza katika ufunguzi wa  shamba la mafunzo na ufugaji wa Samaki (Big Fish Farm)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani