Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SOMO LA UFUGAJI: UZURI WA MAYAI YA KWARE KAMA CHAKULA


Katika siku za hivi karibuni ndege aitwae kware ameanza kuwa ndege maarufu katika baadhi ya wafugaji katika nchi yetu na kwa wale ambao walikuwa wakiwawinda porini enzi hizo bado wana imani kuwa ndege huyu hawezi kufungwa kama hatakimbia basi atajiua, lakini kwa wale wanaotaka kumfuga ndege huyu mdogo mwenye mayai matamu ya madoa doa wanaweza sasa inaweza kugeuka chanzo cha mapato na sehemu ya chakula bora kwa familia.

Leo ningependa niingie ndani kuwa nini hasa tofauti ya mayai ya kware na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Dawa ni Kuacha Ngono, Mayai ya Kware Hayatibu UKIMWI

Hivi karibuni nilikuwa Dar es salaam kwa likizo fupi, nikashangaa mtaani kwetu, msiniulize maeneo gani, nilikuta wakaazi wengi waliokuwa wakifuga kuku wa mayai au wa nyama wamebadili biashara na sasa wanafuga ndege aina ya Kware na wanauza mayai yake kam njugu.Nilipodadisi niliambiwa yanatumiwa na waathirika wa ugnjwa wa UKIMWI maana wameambiwa na wataalmu wetu kwamba mayai ya Kware yanatibu UKIMWI.
Nilishangaa zaidi kusiki eti dozi yake ni mayai matano kwa siku kila siku na baada ya kutumia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Faida za Ufugaji: Kware anaweza kuokoa maisha, kumaliza umasikini

 

Ndege aina ya Kware akiwa na mayai yake.. Wafugaji  wa kuku nchini Tanzania, baadhi yao hivi sasa wamegeukia ufugaji wa ndege aina ya kware kutokana na umaarufu wa viumbe hao jamii ya ndege. Ndege huyo mdogo amekuwa maarufu kutokana na ubora wa mayai yake yanayodaiwa kuboresha afya ya watu wenye magonjwa. Ndege hao hawahitaji uwe na eneo kubwa ili uwafuge, tofauti na kuku ambao huchukua eneo kubwa.

Viota vya kware vinaweza kuwekwa vibarazani. Mkazi wa Tegeta Kibaoni, Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Mwananchi

Wafugaji samaki sasa wapewa somo la ufugaji bora nchini

Wafugaji wa samaki nchini wametakiwa kuacha ufugaji wa mazoea ambao huwasababishia hasara, na badala yake washirikiane na wataalumu kubaini mbegu bora na zinazofaa.

 

5 years ago

Michuzi

MKWIRU AIPA SOMO LA UFUGAJI NYUKI NA MIZINGA SEKONDARI YA MWAMBISI-MWALIMU SIMBA

NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA
Shule ya sekondari Mwambisi ,Kongowe Kibaha mkoani Pwani ,imebuni mradi wa ufugaji nyuki na mizinga kwa ajili ya asali ili kujipatia kipato pamoja na kufundisha wanafunzi somo la stadi za maisha kupitia mradi huo.

Aidha shule hiyo, inatunza mazingira kwa kupanda miti maeneo ya shule na kuotosha miche ya miti mbalimbali ambapo kwa mwaka huu wameotesha miche 10,000.

Akizungumzia ubunifu huo ,mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Mwambisi Joseph Simba alisema ,kwasasa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mayai ya kwale kama kikombe cha Babu, Serikali iko kimya

Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na gumzo kubwa hapa nchini na hata nje ya nchi juu ya tiba ya kimaajabu maarufu kama ‘kikombe cha babu.’

 

5 years ago

BBCSwahili

Waridi wa BBC: Dada wawili wanaokula sabuni kama chakula

Katika Waridi wa BBC, fuatilia dada wawili wanaofurahishwa na kula sabuni

 

10 years ago

Vijimambo

HABARI NDIYO HII NO SHULE NO CHAKULA KAMA UKUBARI KUUZA GENGE LANGU

ONYO: Bila chenyi kamali uwezi kuuziwa kitu chochote hapa

 

5 years ago

Michuzi

RAIS DK.MAGUFULI ASHANGAZWA VIPIMO KUONESHA MAPAPAI, MBUZI, FENESI , KWARE KUKUTWA NA CORONA...ATOA MAELEKEZO


Na Said Mwishehe, Michuzi TV
KUNA mnganganyiko mkubwa kwenye matokeo ya vipimo vya sampo za Corona.Ndivyo anavyoelezea Rais Dk.John Magufuli baada ya kufanyika kwa uchunguzi kwa kutumia vyombo vya ulinzi na usalama katika Maabara ya Taifa ya Tanzania kuhusu vipimo vya Corona.
Kwa mujibu wa Rais Magufuli katika maabara hiyo iliyokuwa inapima Corona kuna changamoto nyingi za ajabu hasa baada ya kuona kila wanapotoa matoeo basi lazima yawe Positive, positive tu mara nyingi.
Hivyo alipokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani