Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Faida za Ufugaji: Kware anaweza kuokoa maisha, kumaliza umasikini

 

Ndege aina ya Kware akiwa na mayai yake.. Wafugaji  wa kuku nchini Tanzania, baadhi yao hivi sasa wamegeukia ufugaji wa ndege aina ya kware kutokana na umaarufu wa viumbe hao jamii ya ndege. Ndege huyo mdogo amekuwa maarufu kutokana na ubora wa mayai yake yanayodaiwa kuboresha afya ya watu wenye magonjwa. Ndege hao hawahitaji uwe na eneo kubwa ili uwafuge, tofauti na kuku ambao huchukua eneo kubwa.

Viota vya kware vinaweza kuwekwa vibarazani. Mkazi wa Tegeta Kibaoni, Dar es Salaam,...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SOMO LA UFUGAJI: UZURI WA MAYAI YA KWARE KAMA CHAKULA


Katika siku za hivi karibuni ndege aitwae kware ameanza kuwa ndege maarufu katika baadhi ya wafugaji katika nchi yetu na kwa wale ambao walikuwa wakiwawinda porini enzi hizo bado wana imani kuwa ndege huyu hawezi kufungwa kama hatakimbia basi atajiua, lakini kwa wale wanaotaka kumfuga ndege huyu mdogo mwenye mayai matamu ya madoa doa wanaweza sasa inaweza kugeuka chanzo cha mapato na sehemu ya chakula bora kwa familia.

Leo ningependa niingie ndani kuwa nini hasa tofauti ya mayai ya kware na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Faida za kiuchumi za ufugaji nyuki

UFUGAJI nyuki nchini hufanyika kwenye misitu na mapori ya akiba na asilimia ndogo hufanyika katika maeneo ya kilimo. Wananchi waishio jirani na maeneo ya hifadhi za misitu na baadhi ya...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Tanzanite inaweza kumaliza umasikini Mirerani

Tanzania ni miongoni mwa nchi ulimwenguni ambazo zimebarikiwa na Mungu kuwa na  utajiri wa maliasili nyingi ambazo zingeweza kusaidia kuinua uchumi wa mtu mmoja mmoja ,eneo husika na Taifa kwa ujumla. Kuna maeneo mengi hapa nchini yamegundulika kuwa na rasilimali adimu kama vile madini lakini ukitembelea maeneo hayo angalia uchumi wa eneo husika utabaini hali ya umaskini imekithiri sio tu kwa wananchi mmoja mmoja bali hata Halimashauri husika inashindwa kupata mapato ambayo yangeweza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Vyoo nafuu kuokoa maisha ya wanawake

Kikundi kimoja cha kujitolea nchini India kimegawa vyoo 108 bure katika kijiji ambako wasichana waliuawa kwa kunyongwa .

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA DMV WAKUSANYIKA KUOKOA MAISHA YA MWENZAO

Na Abou Shatry Washington DC 
 Watanzania walioko nchini Marekani, wamechangisha zaidi ya Dola 3,550 kwa ajili ya kumsaidia ndugu Moh'd Said Moh'd anayehitaji kwenda nchini India kwa matibabu.Bi Moza Moh'd Khamis akitoa maelezo machache, Maryam Shaaban kulia, pamoja na Bi Asha Haris, Picha zote na (swahilivilla.blogspot.com)
Akifungua shughuli hiyo iliyofanyika May 17, katika Jimbo la Meryland nchini Marekani na kuzijumuisha jumuiya mbali mbali za Kitanzania, Mwenyekiti wa Jumuiya ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Madaktari washirikiana kuokoa maisha ya Pacha walioungana

Mwanza conjoined twins

Timu ya madaktari wa watoto katika hospitali ya rufaa ya Bugando wameungana ili kuokoa maisha ya  mapacha walioungana. Mapacha hao wamezaliwa na Elena Paulo, mwenye umri wa miaka 20, Januari 3, mwaka huu katika hospitali ya  hospitali ya mkoa ya Mara  na baadaye kuhamishiwa katika hospital ya rufaa ya Bugando mkoani  Mwanza kwa ajili ya matibabu zaidi.

Watoto hao walikuwa na uzito wa kilo 4.6 kwa pamoja wakati walipozaliwa na walikuwa wameungana vifua na matumbo.

Kwa mujibu wa Dk Festo...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Nahitaji Sh700,000 kuokoa maisha yangu’

Ugonjwa wa saratani unazidi kushika kasi kila kukicha hapa nchini. Pia umegharimu maisha ya watu wengi kutokana na huo ugonjwa bado haujapatiwa tiba madhubuti.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtwara wahimizwa kuchangia damu kuokoa maisha

WAKAZI wa mikoa ya Kanda ya Kusini, wamehimizwa kuchangia damu mara kwa mara, ili kuokoa maisha ya wajawazito wakati wa kujifungua na watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Ushauri...

 

10 years ago

Michuzi

TPB WACHANGIA DAMU, KUOKOA MAISHA YA WATANZANIA


 Katika kuonyesha kuwa Benki ya Posta Tanzania (TPB), inafanya inatoa huduma za kibenki, lakini pia iko mstari wa mbele kuwajali wateja wake na wananchi kwa ujumla. Katika kutekeleza hilo,  wafanyakazi wa benki hiyo, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Sabasaba Moshingi, wamejitolea damu, "kutunisha" benki ya taifa ya damu na hivyo kuokoa maisha ya watanzania ambapo miongoni mwao ni wateja wake. Zoezi la kutoa damu lilifanyika makao makuu ya benki hiyo barabara ya Samora jijini Dar es Salaam....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani