Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vyoo nafuu kuokoa maisha ya wanawake

Kikundi kimoja cha kujitolea nchini India kimegawa vyoo 108 bure katika kijiji ambako wasichana waliuawa kwa kunyongwa .

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mke wa Rais ahimiza kliniki kuokoa maisha ya wanawake

Mke wa Rais, Mama Salma KikweteMKE wa Rais Mama Salma Kikwete amewataka wanawake nchini kuendelea kupunguza vifo wakati wa kujifungua kwa kuhudhuria kliniki pindi wanapogundua kuwa ni wajawazito.

 

10 years ago

Dewji Blog

Madaktari washirikiana kuokoa maisha ya Pacha walioungana

Mwanza conjoined twins

Timu ya madaktari wa watoto katika hospitali ya rufaa ya Bugando wameungana ili kuokoa maisha ya  mapacha walioungana. Mapacha hao wamezaliwa na Elena Paulo, mwenye umri wa miaka 20, Januari 3, mwaka huu katika hospitali ya  hospitali ya mkoa ya Mara  na baadaye kuhamishiwa katika hospital ya rufaa ya Bugando mkoani  Mwanza kwa ajili ya matibabu zaidi.

Watoto hao walikuwa na uzito wa kilo 4.6 kwa pamoja wakati walipozaliwa na walikuwa wameungana vifua na matumbo.

Kwa mujibu wa Dk Festo...

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA DMV WAKUSANYIKA KUOKOA MAISHA YA MWENZAO

Na Abou Shatry Washington DC 
 Watanzania walioko nchini Marekani, wamechangisha zaidi ya Dola 3,550 kwa ajili ya kumsaidia ndugu Moh'd Said Moh'd anayehitaji kwenda nchini India kwa matibabu.Bi Moza Moh'd Khamis akitoa maelezo machache, Maryam Shaaban kulia, pamoja na Bi Asha Haris, Picha zote na (swahilivilla.blogspot.com)
Akifungua shughuli hiyo iliyofanyika May 17, katika Jimbo la Meryland nchini Marekani na kuzijumuisha jumuiya mbali mbali za Kitanzania, Mwenyekiti wa Jumuiya ya...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Nahitaji Sh700,000 kuokoa maisha yangu’

Ugonjwa wa saratani unazidi kushika kasi kila kukicha hapa nchini. Pia umegharimu maisha ya watu wengi kutokana na huo ugonjwa bado haujapatiwa tiba madhubuti.

 

10 years ago

Michuzi

TPB WACHANGIA DAMU, KUOKOA MAISHA YA WATANZANIA


 Katika kuonyesha kuwa Benki ya Posta Tanzania (TPB), inafanya inatoa huduma za kibenki, lakini pia iko mstari wa mbele kuwajali wateja wake na wananchi kwa ujumla. Katika kutekeleza hilo,  wafanyakazi wa benki hiyo, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Sabasaba Moshingi, wamejitolea damu, "kutunisha" benki ya taifa ya damu na hivyo kuokoa maisha ya watanzania ambapo miongoni mwao ni wateja wake. Zoezi la kutoa damu lilifanyika makao makuu ya benki hiyo barabara ya Samora jijini Dar es Salaam....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtwara wahimizwa kuchangia damu kuokoa maisha

WAKAZI wa mikoa ya Kanda ya Kusini, wamehimizwa kuchangia damu mara kwa mara, ili kuokoa maisha ya wajawazito wakati wa kujifungua na watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Ushauri...

 

10 years ago

Michuzi

MSAADA WAKO UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYU

Paulina Nyoni (Mama wa mtoto Fatuma Msuya) akiwa amembeba mwanaye ambaye anahitaji msaada wa matimabu .

---------------------- Paulina nyoni mkazi wa kijiji cha Hanga wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma anaomba msaada kwa yeyote atakaye guswa na tatizo la mwanaye  aitwaye Fatuma Msuya ili aweze kupata matibabu katika hospitali ya KCMC moshi.
Paulina ni mama mwenye watoto wa tano anayejishugulisha na kilimo , Mume wake aitwaye  Jafari Msuya amemtelekeza baada ya kujifungua mtoto mwenye tatizo hili...

 

9 years ago

StarTV

Mashirika,Asasi zatakiwa kuokoa maisha ya watoto njiti

Kufuatia kuzidi kuongezeka kwa vifo vya watoto njiti nchini takribani watoto laki mbili na kumi wanaozaliwa kwa mwaka ni elfu tisa pekee ndiyo wanafanikiwa kupata huduma za matibabu na kuishi.

Kutokana na ongezeko hilo la vifo vya watoto njiti, mashirika pamoja na asasi binafsi zimetakiwa kujitokeza kutoa misaada ya mashine za kusaidia kupumua na za kutolea uchafu kwa watoto hao na si mpaka kuisubiri Serikali kufanya kazi hiyo.

Akibainisha hayo mshirika wa Doris Moleli Faundation amesema...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE ZA WATANZANIA DMV WAKUSANYIKA KUOKOA MAISHA YA MWENZAO

Na Abou Shatry Washington DC Watanzania walioko nchini Marekani, wamechangisha zaidi ya Dola 3,550 kwa ajili ya kumsaidia ndugu Moh'd Said Moh'd anayehitaji kwenda nchini India kwa matibabu. Bi Moza Moh'd Khamis akitoa maelezo machache, Maryam Shaaban kulia, pamoja na Bi AshaHaris, Picha zote na (swahilivilla.blogspot.com) 
 Akifungua shughuli hiyo iliyofanyika May 17, katika Jimbo la Meryland nchini Marekani na kuzijumuisha jumuiya mbali mbali za Kitanzania, Mwenyekiti wa Jumuiya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani