Madaktari washirikiana kuokoa maisha ya Pacha walioungana
Timu ya madaktari wa watoto katika hospitali ya rufaa ya Bugando wameungana ili kuokoa maisha ya mapacha walioungana. Mapacha hao wamezaliwa na Elena Paulo, mwenye umri wa miaka 20, Januari 3, mwaka huu katika hospitali ya hospitali ya mkoa ya Mara na baadaye kuhamishiwa katika hospital ya rufaa ya Bugando mkoani Mwanza kwa ajili ya matibabu zaidi.
Watoto hao walikuwa na uzito wa kilo 4.6 kwa pamoja wakati walipozaliwa na walikuwa wameungana vifua na matumbo.
Kwa mujibu wa Dk Festo...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV17 Dec
NHIF kupeleka madaktari bingwa mikoani kusaidia kuokoa  Maisha Ya Masikini
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Kone amesema mpango wa Mfuko wa Taifa wa Bima Afya NHIF kupeleka madaktari bingwa kutoa huduma mikoani umesaidia kuokoa maisha ya wananchi masikini ambao wangeshindwa kumudu gharama za usafi na malazi kuwafuata waliko.
Dokta Kone ametoa kauli hiyo leo kwenye uzinduzi wa shughuli za madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambao wako Singida kwa ajili ya kutoa huduma za uchunguzi wa kitaalamu na kutibu wanachama wa Bima ya Afya pamoja na...
5 years ago
MichuziMADAKTARI MUHIMBILI WATUMIA TEKNOLOJIA MPYA KUOKOA MAISHA YA WATOTO WANAOZALIWA UTUMBO UKIWA NJE
KWA mara ya kwanza madaktari bingwa wa upasuaji wa watoto kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili wamefanikiwa kuokoa maisha ya watoto wawili waliozaliwa wakiwa na tatizo la tumbo kuwa wazi na utumbo kuwa nje (Gastroschisis) na kwa kutumia utaratibu madaktari hao wamefanikiwa kuwavalisha mifuko maalumu (Silo bags) ambayo haihusishi mtoto kufanyiwa upasuaji wala kupewa dawa za usingizi.
Akisoma taarifa hiyo leo jijini Dar es Salaam Daktari bingwa wa upasuaji wa...
10 years ago
Habarileo04 Mar
Pacha walioungana kwenda kidato 5
PACHA walioungana kiwiliwili, Consolata na Maria Mwakikuti (18) wa Kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoani Njombe wamefaulu mtihani wao wa kuhitimu kidato cha nne kwa alama sawa isipokuwa masomo mawili.
10 years ago
Vijimambo06 Jan
Ajifungua pacha wa kike walioungana kifua, tumbo
Tukio hilo la ajabu katika Mji wa Musoma na mkoa kwa jumla, liliwavutia hisia za wananchi hali iliyosababisha msongamano katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa kwa madhumuni ya kutaka kushuhudia.
Akizungumza katika wodi ya wazazi hospitalini hapo, muuguzi wa zamu, Naabu Geraruma alisema...
10 years ago
Habarileo18 Sep
Mabinti pacha walioungana kuhitimu kidato cha nne
HATUA ya kwanza ya ndoto ya kuzama katika elimu ya mabinti pacha walioungana kiwiliwili, Consolata na Maria Mwakikuti (18) wa Kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoa mpya wa Njombe, inatarajiwa kutimia Novemba mwaka huu, wakati mabinti hao watakapofanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne.
10 years ago
BBCSwahili01 Sep
Vyoo nafuu kuokoa maisha ya wanawake
10 years ago
MichuziTPB WACHANGIA DAMU, KUOKOA MAISHA YA WATANZANIA
Katika kuonyesha kuwa Benki ya Posta Tanzania (TPB), inafanya inatoa huduma za kibenki, lakini pia iko mstari wa mbele kuwajali wateja wake na wananchi kwa ujumla. Katika kutekeleza hilo, wafanyakazi wa benki hiyo, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Sabasaba Moshingi, wamejitolea damu, "kutunisha" benki ya taifa ya damu na hivyo kuokoa maisha ya watanzania ambapo miongoni mwao ni wateja wake. Zoezi la kutoa damu lilifanyika makao makuu ya benki hiyo barabara ya Samora jijini Dar es Salaam....
10 years ago
MichuziWATANZANIA DMV WAKUSANYIKA KUOKOA MAISHA YA MWENZAO
Watanzania walioko nchini Marekani, wamechangisha zaidi ya Dola 3,550 kwa ajili ya kumsaidia ndugu Moh'd Said Moh'd anayehitaji kwenda nchini India kwa matibabu.Bi Moza Moh'd Khamis akitoa maelezo machache, Maryam Shaaban kulia, pamoja na Bi Asha Haris, Picha zote na (swahilivilla.blogspot.com)
Akifungua shughuli hiyo iliyofanyika May 17, katika Jimbo la Meryland nchini Marekani na kuzijumuisha jumuiya mbali mbali za Kitanzania, Mwenyekiti wa Jumuiya ya...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Mtwara wahimizwa kuchangia damu kuokoa maisha
WAKAZI wa mikoa ya Kanda ya Kusini, wamehimizwa kuchangia damu mara kwa mara, ili kuokoa maisha ya wajawazito wakati wa kujifungua na watoto wenye umri chini ya miaka mitano. Ushauri...