NHIF kupeleka madaktari bingwa mikoani kusaidia kuokoa  Maisha Ya Masikini
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dokta Parseko Kone amesema mpango wa Mfuko wa Taifa wa Bima Afya NHIF kupeleka madaktari bingwa kutoa huduma mikoani umesaidia kuokoa maisha ya wananchi masikini ambao wangeshindwa kumudu gharama za usafi na malazi kuwafuata waliko.
Dokta Kone ametoa kauli hiyo leo kwenye uzinduzi wa shughuli za madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambao wako Singida kwa ajili ya kutoa huduma za uchunguzi wa kitaalamu na kutibu wanachama wa Bima ya Afya pamoja na...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vPpi-w0_jKw/VO8bNVdGLpI/AAAAAAAAqZc/LmrvzBlYYkQ/s72-c/DSC_0254.jpg)
NHIF KUPELEKA MADAKTARI BINGWA MIKOA YA PEMBEZI WA NCHI
![](http://3.bp.blogspot.com/-vPpi-w0_jKw/VO8bNVdGLpI/AAAAAAAAqZc/LmrvzBlYYkQ/s1600/DSC_0254.jpg)
Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unatarajia kupeleka madaktari bingwa katika mikoa ya pembezoni kwa ajili ya kutoa huduma za kitaalam kwa wakazi wa maeneo hayo.
Kupeleka kwa...
10 years ago
Michuzi02 Jun
NHIF YAENDELEA NA MPANGO WAKE WA KUPELEKA MADAKTARI BINGWA KATIKA MIKOA YA PEMBEZONI
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/1.jpeg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/2.jpeg)
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/06/33.jpg)
10 years ago
Dewji Blog08 Jan
Madaktari washirikiana kuokoa maisha ya Pacha walioungana
Timu ya madaktari wa watoto katika hospitali ya rufaa ya Bugando wameungana ili kuokoa maisha ya mapacha walioungana. Mapacha hao wamezaliwa na Elena Paulo, mwenye umri wa miaka 20, Januari 3, mwaka huu katika hospitali ya hospitali ya mkoa ya Mara na baadaye kuhamishiwa katika hospital ya rufaa ya Bugando mkoani Mwanza kwa ajili ya matibabu zaidi.
Watoto hao walikuwa na uzito wa kilo 4.6 kwa pamoja wakati walipozaliwa na walikuwa wameungana vifua na matumbo.
Kwa mujibu wa Dk Festo...
10 years ago
MichuziNHIF WAZINDUA MPANGO WA HUDUMA ZA MADAKTARI BINGWA MANYARA.
Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara, wakishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Nkaya akizindua mpango wa huduma za madaktari bingwa mkoani humo, zilizowezeshwa na NHIF
9 years ago
MichuziNHIF yapeleka Madaktari Bingwa Kagera, Yaonya wadanyabyifu
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya umesema hautawavumilia watumishi katika hospitali ya Mkoa wa Kagera wanaojihusisha na vitendo vya kughushi nyaraka za kuchukulia dawa katika maduka ya dawa na kuusababishia Mfuko kulipa fedha ambazo hazijatumika kihalali.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Bw. Michael Mhando ameyasema hayo mjini hapa wakati akizungumza na uongozi wa Hospitali ya Mkoa wa Kagera kabla ya uzinduzi wa mpango wa Madaktari Bingwa ambao wamepelekwa na...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-e1lpdEO_e64/VPRxz3uhFWI/AAAAAAAAMdY/xtkPLd7OIXU/s72-c/NHIF%2BTABORA.5.jpg)
NHIF YAZINDUA HUDUMA ZA MATIBABU ZINAZOTOLEWA BURE NA MADAKTARI BINGWA-TABORA
![](http://2.bp.blogspot.com/-e1lpdEO_e64/VPRxz3uhFWI/AAAAAAAAMdY/xtkPLd7OIXU/s1600/NHIF%2BTABORA.5.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-DAusR2we7DY/VPRw8wZCiBI/AAAAAAAAMdI/i59TF8Und3w/s1600/NHIF%2BTABORA.3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-aY2L5iPTmPM/VPRwoq4HKCI/AAAAAAAAMdA/LYUiHUkZcO8/s1600/NHIF%2BTABORA.2.jpg)
9 years ago
Dewji Blog19 Dec
Mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) wazindua huduma za madaktari bingwa mkoani Singida!!
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-enpdSJQ7138/XphJ_dQgtaI/AAAAAAALnLM/s8q48pDMkZUx2CZaJggjMv9jENkbVr2hQCLcBGAsYHQ/s72-c/7502c379-bed5-4fb4-95cf-9a838a3e0ee4.jpg)
MADAKTARI MUHIMBILI WATUMIA TEKNOLOJIA MPYA KUOKOA MAISHA YA WATOTO WANAOZALIWA UTUMBO UKIWA NJE
KWA mara ya kwanza madaktari bingwa wa upasuaji wa watoto kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili wamefanikiwa kuokoa maisha ya watoto wawili waliozaliwa wakiwa na tatizo la tumbo kuwa wazi na utumbo kuwa nje (Gastroschisis) na kwa kutumia utaratibu madaktari hao wamefanikiwa kuwavalisha mifuko maalumu (Silo bags) ambayo haihusishi mtoto kufanyiwa upasuaji wala kupewa dawa za usingizi.
Akisoma taarifa hiyo leo jijini Dar es Salaam Daktari bingwa wa upasuaji wa...
9 years ago
MichuziTIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR