Ajifungua pacha wa kike walioungana kifua, tumbo
Musoma. Mwanamke mmoja mkazi wa Kata ya Buhare, Manispaa ya Musoma mkoani Mara, Helena Paulo (20), amejifungua watoto pacha wa kike walioungana eneo la kifuani hadi tumboni wakiwa na uzito wa kilo 4.6 kwa pamoja.
Tukio hilo la ajabu katika Mji wa Musoma na mkoa kwa jumla, liliwavutia hisia za wananchi hali iliyosababisha msongamano katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa kwa madhumuni ya kutaka kushuhudia.
Akizungumza katika wodi ya wazazi hospitalini hapo, muuguzi wa zamu, Naabu Geraruma alisema...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Mar
Pacha walioungana kwenda kidato 5
PACHA walioungana kiwiliwili, Consolata na Maria Mwakikuti (18) wa Kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoani Njombe wamefaulu mtihani wao wa kuhitimu kidato cha nne kwa alama sawa isipokuwa masomo mawili.
10 years ago
Dewji Blog08 Jan
Madaktari washirikiana kuokoa maisha ya Pacha walioungana
Timu ya madaktari wa watoto katika hospitali ya rufaa ya Bugando wameungana ili kuokoa maisha ya mapacha walioungana. Mapacha hao wamezaliwa na Elena Paulo, mwenye umri wa miaka 20, Januari 3, mwaka huu katika hospitali ya hospitali ya mkoa ya Mara na baadaye kuhamishiwa katika hospital ya rufaa ya Bugando mkoani Mwanza kwa ajili ya matibabu zaidi.
Watoto hao walikuwa na uzito wa kilo 4.6 kwa pamoja wakati walipozaliwa na walikuwa wameungana vifua na matumbo.
Kwa mujibu wa Dk Festo...
10 years ago
Habarileo18 Sep
Mabinti pacha walioungana kuhitimu kidato cha nne
HATUA ya kwanza ya ndoto ya kuzama katika elimu ya mabinti pacha walioungana kiwiliwili, Consolata na Maria Mwakikuti (18) wa Kijiji cha Ikonda wilayani Makete mkoa mpya wa Njombe, inatarajiwa kutimia Novemba mwaka huu, wakati mabinti hao watakapofanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne.
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Mkurugenzi wa Yahoo ajifungua pacha
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Mama ajifungua pacha wanne Mbeya
10 years ago
Vijimambo06 Aug
Zari ajifungua mtoto wa kike
![MTOTO WA ZARI](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/MTOTO-WA-ZARI.jpg)
Mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ akiwa amembeba mjukuu weke. Kulia ni Zari
MPENZI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Zarinah Hassan ‘Zari’ amejifungua mtoto wa kike leo alfajiri saa 10: 40 jijini Dar es Salaam. Mtandao huu umeongea na Meneja wa kimataifa wa Diamond Platinumz, Salam Sharaf ambaye amethibitisha taarifa hizo na kusema Zari bado yupo hospitali mpaka sasa.
Kutokana na usumbufu aliodai unaweza kutokea, Salam hakuweka wazi hospitali...
11 years ago
GPLLIL KIM AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/08/599.jpg)
EXCLUSIVE: ZARI AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NHPaItPS5EjY-cw6rPzElGPsiTCNnBWpqwdNTV3RSRkkXHea5DfCXf1mXO0JPXfc3b*Mextn7epasWNUFkOlq*3njkQ6yAk*/AUNTTY134.jpg?width=650)
AUNT EZEKIEL AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE