Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkurugenzi wa Yahoo ajifungua pacha

Mkurugeni Mkuu wa kampuni kubwa ya teknolojia ya Yahoo Marissa Mayer ametangaza kwamba amejifungua watoto pacha wa kike wanaofanana.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mama ajifungua pacha wanne Mbeya

Mwanamke Aida Nakawana (25) wa Kijiji cha Chiwanda wilayani Mbozi, Mbeya amejifungua watoto wanne wa kiume kwa njia ya kawaida katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi.

 

10 years ago

Vijimambo

Ajifungua pacha wa kike walioungana kifua, tumbo

Musoma. Mwanamke mmoja mkazi wa Kata ya Buhare, Manispaa ya Musoma mkoani Mara, Helena Paulo (20), amejifungua watoto pacha wa kike walioungana eneo la kifuani hadi tumboni wakiwa na uzito wa kilo 4.6 kwa pamoja.

Tukio hilo la ajabu katika Mji wa Musoma na mkoa kwa jumla, liliwavutia hisia za wananchi hali iliyosababisha msongamano katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa kwa madhumuni ya kutaka kushuhudia.

Akizungumza katika wodi ya wazazi hospitalini hapo, muuguzi wa zamu, Naabu Geraruma alisema...

 

9 years ago

BBCSwahili

Yahoo yafungia matangazo ya kibiashara

Yahoo imewatumia watumiaji wake ujumbe unaowataka wadhoofishe programu inayozuia matangazo ya kibiashara ndipo waweze kupata ujumbe wa barua pepe.

 

10 years ago

BBCSwahili

YAHOO kufunga afisi zake China

Kampuni ya mtandao YAHOO inatarajiwa kufunga afisi yake ya mwisho katika eneo la China bara.

 

10 years ago

BBCSwahili

Korti yakwaza Google, Yahoo na Microsoft

Mahakama kuu nchini India imeamrisha kampuni kubwa za intenet, Google, Yahoo na Microsoft kubana matangazo ya biashara ya kuwapima wanawake wajawazito ili kubaini jinsia ya mtoto kabla ya kuzaliwa kwake.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yahoo matatani katika makala ya Click

Kampuni ya mawasiliano ya barua pepe ya yahoo imeshtakiwa kwa kukiuka maadili na kusoma barua za kielektroniki kutoka kwa makampuni pinzani

 

10 years ago

Michuzi

MKURUGENZI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA WA MAMBO YA NJE AAGANA NA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UNDP NCHINI

Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akimkabidhi Kitabu kinachoelezea Vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo nchini Mkurugenzi wa UNDP nchini, Bw. Philippe Poinsot, alipokuja kuaga mara baada ya kupata uhamisho wa kwenda kuwa Mratibu Mkazi wa UNDP nchini Moroco.Balozi Mushy akiwa katika mazungumzo na Bw. Philippe Poinsot mara baada ya kumkabidhi kitabu.Balozi Mushy (wa nne kulia)  akiwa katika picha ya pamoja na Bw. Poinsot (wa nne kushoto) pamoja na Maafisa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Masahihisho katika taarifa ya Uteuzi wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Mkurugenzi wa Intelijensia katika Jeshi la Polisi

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Kamishna wa Polisi (CP) Diwani  Athumani Msuya, kuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya Jinai (Director of Criminal Investigation).

Kabla ya uteuzi huu CP Msuya alikuwa Kaimu Kamishna wa Kamisheni ya Intelijensia ya Jinai. CP Msuya anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Isaya J. Mngulu ambaye amestaafu kwa mujibu wa Sheria.

Rais Kikwete pia amemteua Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Valentino Mlowola...

 

11 years ago

GPL

BELINA AJIFUNGUA

Belina Mgeni. Stori: Imelda Mtema
MWANAMITINDO maarafu Bongo, Belina Mgeni amejifungua mtoto wa kike. Mtoto wa Belina. Mrembo huyo alijifungua juzikati katika Hospitali ya TMJ, iliyopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam ambapo mwanamitindo huyo hakusita kuanika furaha yake mbele ya paparazi wetu kisha akatangaza jina la kichanga hicho, Naila. “Kiukweli siku zote ukimuomba Mungu unafanikiwa kwani nilikuwa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani