Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mama ajifungua pacha wanne Mbeya

Mwanamke Aida Nakawana (25) wa Kijiji cha Chiwanda wilayani Mbozi, Mbeya amejifungua watoto wanne wa kiume kwa njia ya kawaida katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMA AJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO MKOANI KIGOMA, AOMBA MSAADA KWA WATANZANIA

Na Editha Karlo, Globu ya Jamii - Kigoma
MKAZI wa Kijiji cha Buzebazeba katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, Zuwena Abdu (29) jana amejifungua watoto mapacha wanne kwa mkupuo katika Hospital ya Mkoa  wa Kigoma (Maweni).
Zuwena alisema kuwa watoto aliojifungua wenye jinsia ya kiume ni  watatu na  mmoja ambaye ni wa mwisho ana jinsia ya kike ,wa kwanza akiwa na uzito wa kilo 1.8,pili 2.5 wa tatu 1.7 na wanne 1.7.
Alisema watoto hao alijifungua jana majira ya saa kumi na mbili jioni salama  kwa njia...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mkurugenzi wa Yahoo ajifungua pacha

Mkurugeni Mkuu wa kampuni kubwa ya teknolojia ya Yahoo Marissa Mayer ametangaza kwamba amejifungua watoto pacha wa kike wanaofanana.

 

10 years ago

Vijimambo

Ajifungua pacha wa kike walioungana kifua, tumbo

Musoma. Mwanamke mmoja mkazi wa Kata ya Buhare, Manispaa ya Musoma mkoani Mara, Helena Paulo (20), amejifungua watoto pacha wa kike walioungana eneo la kifuani hadi tumboni wakiwa na uzito wa kilo 4.6 kwa pamoja.

Tukio hilo la ajabu katika Mji wa Musoma na mkoa kwa jumla, liliwavutia hisia za wananchi hali iliyosababisha msongamano katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa kwa madhumuni ya kutaka kushuhudia.

Akizungumza katika wodi ya wazazi hospitalini hapo, muuguzi wa zamu, Naabu Geraruma alisema...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Aliyejifungua pacha wanne aomba msaada

MKAZI wa Kijiji Chakijage, Kata ya Rwabwere, Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, aliyejifungua watoto wanne pacha, Jodephina Rugambwa (30), ameiomba serikali kumpatia msaada ili kumsaidia kulea watoto wake. Akizungumza na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bibi,umri wa 65,ana mimba ya pacha wanne

Mwanamke mwenye umri wa miaka 65 mama ya watoto 13 sasa anamimba ya pacha wanne

 

10 years ago

GPL

MAMA MCHUNGAJI AJIFUNGUA HIRIZI!

Stori: Shani Ramadhani na Rhoda Josiah NI maajabu ya dunia! Mke wa Mchungaji wa Kanisa la EAGT ‘Bonde la Baraka’ lililopo Kata ya Kerege Manofu, Bagamoyo mkoani Pwani, Boniface Onesmo Mahera (38) (pichani), Bentha Seth (27) baada ya kubeba mimba kwa miezi tisa  hatimaye amejifungua hirizi, gazeti la kijamii, Uwazi lina mkasa wote. Mke wa Mchungaji wa Kanisa la EAGT ‘Bonde la Baraka’,  Bentha Seth...

 

10 years ago

GPL

MAMA AJIFUNGUA MTOTO WA AJABU

Na Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mama aliyetambulika kwa jina la Swaumu Sadick (25), mkazi wa Manzese jijini Dar, amejikuta yeye na manesi wakitimua mbio kwa woga baada ya kujifungua kiumbe wa ajabu. Swaumu Sadick akiwa hospitali baada ya kujifungua mtoto huyo. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, tukio hilo ambalo kwa sasa ni gumzo, lilijiri hivi karibuni mishale ya saa 8:00 usiku kwenye Kituo cha Afya Cha Kijiji cha Mlali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani