Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA MCHUNGAJI AJIFUNGUA HIRIZI!

Stori: Shani Ramadhani na Rhoda Josiah NI maajabu ya dunia! Mke wa Mchungaji wa Kanisa la EAGT ‘Bonde la Baraka’ lililopo Kata ya Kerege Manofu, Bagamoyo mkoani Pwani, Boniface Onesmo Mahera (38) (pichani), Bentha Seth (27) baada ya kubeba mimba kwa miezi tisa  hatimaye amejifungua hirizi, gazeti la kijamii, Uwazi lina mkasa wote. Mke wa Mchungaji wa Kanisa la EAGT ‘Bonde la Baraka’,  Bentha Seth...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMA AJIFUNGUA MTOTO WA AJABU

Na Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mama aliyetambulika kwa jina la Swaumu Sadick (25), mkazi wa Manzese jijini Dar, amejikuta yeye na manesi wakitimua mbio kwa woga baada ya kujifungua kiumbe wa ajabu. Swaumu Sadick akiwa hospitali baada ya kujifungua mtoto huyo. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, tukio hilo ambalo kwa sasa ni gumzo, lilijiri hivi karibuni mishale ya saa 8:00 usiku kwenye Kituo cha Afya Cha Kijiji cha Mlali...

 

11 years ago

Mwananchi

Mama ajifungua pacha wanne Mbeya

Mwanamke Aida Nakawana (25) wa Kijiji cha Chiwanda wilayani Mbozi, Mbeya amejifungua watoto wanne wa kiume kwa njia ya kawaida katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi.

 

10 years ago

GPL

MWANZA: MAMA AJIFUNGUA MTOTO, AMTUPA DAMPO

Wakazi wa Mkuyuni jijini Mwanza wakiwa katika eneo alilotupwa mtoto wakisubiri polisi. Polisi akishirikiana na wananchi kuuchukua mwili wa mtoto huyo katika jalala alipotupwa na mama yake mzazi. ...wakisaidiana kuubeba mwili wa mtoto.…

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mama aliyekuwa na maambukizi ya Covid-19 ajifungua salama

Bi Silvia Kimaro aligundulika kuwa na virusi vya corona muda mfupi kabla ya kujifungua. Hali ya Silvia ilikuwa mbaya kabla ya kufikishwa hospitalini, lakini hatimaye alijifungua salama.

 

10 years ago

GPL

SKENDO! MAMA AJIFUNGUA, MANESI WADAIWA KUMTUMBUKIZA MTOTO KWENYE NDOO

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
No! Manesi wa wodi ya wazazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wameingia kwenye kashfa nzito ya kusababisha kifo baada ya kudaiwa kumtumbukiza mtoto mchanga kwenye ndoo kwa zaidi ya saa 3. Katoto kachanga kalikotumbukizwa kwenye ndoo kwa zaidi ya saa 3. Tukio hilo ambalo kwa sasa ni gumzo mkoani hapa lilijiri hivi karibuni ambapo mwanamke aitwaye Zainabu lsmali, mkazi wa Kididimo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Staa wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel sasa ni Mama COOKIE!! ajifungua mtoto wa kike

AUNTY35Aunt Ezekiel

Na Andrew Chale, Modewji blog

Ilikuwa si rahisi kama ilivyojulikana na wengi hasa kwa namna ya ‘fans’ wa staa wa filamu za Bongo maalufu  Bongo  Movie,  kujua  hatma ya ujauzito wake ambao ulikuwa ukifuatiliwa na wengi.  staa huyo si mwingine ni Aunty Ezekiel (pichani), katika kipindii chote cha ujauzito wake. Lakini kwa neema za Mungu, Asubuhi ya Mei 21.2015, staa huyo aliweza kuifungulia dunia kwa kumleta mtoto wa kike.

Hata hivyo, Mtoto huyo tayari jina lake limeshajulikana...

 

5 years ago

CCM Blog

BREAKING NEWS: MCHUNGAJI MAMA GERTRUDE RWAKATARE AFARIKI DUNIA

Mchungaji wa Kanisa la Mlima wa Moto, Askofu Gertrude Rwakatare amefariki dunia alfajiri ya leo ya Aprili 20, 2020.

Mtoto wake Muta Rwakatare amethibitisha.
Taarifa zaidi tutawaletea kadri tutakavyoendelea kupata taarifa.

 

10 years ago

Michuzi

MAMA AJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO MKOANI KIGOMA, AOMBA MSAADA KWA WATANZANIA

Na Editha Karlo, Globu ya Jamii - Kigoma
MKAZI wa Kijiji cha Buzebazeba katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, Zuwena Abdu (29) jana amejifungua watoto mapacha wanne kwa mkupuo katika Hospital ya Mkoa  wa Kigoma (Maweni).
Zuwena alisema kuwa watoto aliojifungua wenye jinsia ya kiume ni  watatu na  mmoja ambaye ni wa mwisho ana jinsia ya kike ,wa kwanza akiwa na uzito wa kilo 1.8,pili 2.5 wa tatu 1.7 na wanne 1.7.
Alisema watoto hao alijifungua jana majira ya saa kumi na mbili jioni salama  kwa njia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani