Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SKENDO! MAMA AJIFUNGUA, MANESI WADAIWA KUMTUMBUKIZA MTOTO KWENYE NDOO

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
No! Manesi wa wodi ya wazazi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wameingia kwenye kashfa nzito ya kusababisha kifo baada ya kudaiwa kumtumbukiza mtoto mchanga kwenye ndoo kwa zaidi ya saa 3. Katoto kachanga kalikotumbukizwa kwenye ndoo kwa zaidi ya saa 3. Tukio hilo ambalo kwa sasa ni gumzo mkoani hapa lilijiri hivi karibuni ambapo mwanamke aitwaye Zainabu lsmali, mkazi wa Kididimo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMA AJIFUNGUA MTOTO WA AJABU

Na Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mama aliyetambulika kwa jina la Swaumu Sadick (25), mkazi wa Manzese jijini Dar, amejikuta yeye na manesi wakitimua mbio kwa woga baada ya kujifungua kiumbe wa ajabu. Swaumu Sadick akiwa hospitali baada ya kujifungua mtoto huyo. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, tukio hilo ambalo kwa sasa ni gumzo, lilijiri hivi karibuni mishale ya saa 8:00 usiku kwenye Kituo cha Afya Cha Kijiji cha Mlali...

 

10 years ago

Habarileo

Ajizalisha na kutumbukiza mtoto kwenye ndoo

Liberatus SabasMSICHANA mmoja mkazi wa Mtaa wa Zaire eneo la Kijenge Kaskazini mkoani Arusha, amelazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mount Meru chini ya ulinzi mkali wa Polisi baada ya kujizalisha mwenyewe na kisha kumtumbukiza mtoto wake kwenye ndoo ya maji.

 

10 years ago

GPL

MWANZA: MAMA AJIFUNGUA MTOTO, AMTUPA DAMPO

Wakazi wa Mkuyuni jijini Mwanza wakiwa katika eneo alilotupwa mtoto wakisubiri polisi. Polisi akishirikiana na wananchi kuuchukua mwili wa mtoto huyo katika jalala alipotupwa na mama yake mzazi. ...wakisaidiana kuubeba mwili wa mtoto.…

 

10 years ago

GPL

MAMA, BABA WADAIWA KUMSULUBU MTOTO!

Stori:  Chande Abdallah, Deogratius Mongela na Shani Ramadhani MATUKIO ya vitendo vya ukatili na unyanyasaji kwa watoto yamekuwa yakiendelea kufanyika kila siku licha ya kukemewa mara kwa mara, safari hii, baba na mama wakidaiwa kumsulubu mtoto wao.
Katika hali ya kuonesha kwamba vitendo hivyo  bado vinaendelea kwa kasi, familia moja iliyopo Kunduchi jijini Dar imeshikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za ukatili dhidi...

 

10 years ago

GPL

SKENDO WODINI: MAMA ADAI KUJIFUNGUA MTOTO WA KIUME, APEWA WA KIKE TENA MAITI

Na Mwandishi Wetu, Moro
SKENDO mpya imeikumba Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kufuatia mwanamke mmoja, Rukia Fikiri (pichani) kudai kujifungua mtoto wa kiume kisha baadaye kukabidhiwa mtoto wa kike akiwa amefariki dunia, Uwazi linatiririka.Tukio hilo la kushangaza lilijiri Machi 25, mwaka huu katika wodi ya wazazi ya hospitali hiyo. Rukia Fikiri(kulia) akiwa na ndugu zake wakiwa wamebeba maiti ya mtoto wanaodai...

 

10 years ago

Dewji Blog

Staa wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel sasa ni Mama COOKIE!! ajifungua mtoto wa kike

AUNTY35Aunt Ezekiel

Na Andrew Chale, Modewji blog

Ilikuwa si rahisi kama ilivyojulikana na wengi hasa kwa namna ya ‘fans’ wa staa wa filamu za Bongo maalufu  Bongo  Movie,  kujua  hatma ya ujauzito wake ambao ulikuwa ukifuatiliwa na wengi.  staa huyo si mwingine ni Aunty Ezekiel (pichani), katika kipindii chote cha ujauzito wake. Lakini kwa neema za Mungu, Asubuhi ya Mei 21.2015, staa huyo aliweza kuifungulia dunia kwa kumleta mtoto wa kike.

Hata hivyo, Mtoto huyo tayari jina lake limeshajulikana...

 

11 years ago

Mwananchi

Wananchi wadaiwa kumuua mama, mtoto Tabora

Licha ya Serikali kupiga vita kujichukulia sheria mikononi, unyanyasaji na mauaji ya wanawake, baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Uchama wilayani Nzega mkoani Tabora wamemuua mwanamke mmoja na mtoto wake wa kike kwa sababu zisizofahamika.

 

10 years ago

Vijimambo

MPENZI WA MR NICE AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE, NICE ASEMA NDO MTOTO WAKE WA MWISHO

Mpenzi wa mwanzilishi wa style ya ‘Takeu’ Lucas Mkenda aka Mr Nice, amejifungua mtoto wa kike na kupewa jina la Nicole.
Mr Nice ambaye ni baba wa watoto wawili kwa sasa, Collin na Nicole, ameiambia Bongo5 kuwa Nicole ni mtoto wake wa mwisho ili aweze kuwatengezea maisha mazuri.“Sasa hivi ni uzazi wa mpango, huyu kwangu ndo mtoto wa mwisho, kuzaa tu kama mbwa itakuwaje? mwishowe utashindwa kuwatengenezea maisha mazuri,” alisema Nice.

 

5 years ago

Michuzi

BUWASA YAENDELEZA UTEKELEZAJI WA KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI

Na Abdullatif Yunus  Michuzi TVMAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Bukoba - BUWASA wanaendelea kutekeleza kwa vitendo adhma ya Serikali ya Kumtua Mama ndoo kichwani, kwa kuendelea kusogeza huduma ya Maji safi karibu na Wananchi waishio Manispaa ya Bukoba, baada ya kuzindua Vilula viwili vya Maji katika mtaa wa Kisindi Kata Kashai.
Uzinduzi wa Vilula hivyo venye thamani ya shilingi Bilioni 2.4 ikiwa ni mwendelezo wa usambazaji wa mtandao wa Maji katika maeneo ya Kata Nne zilizosalia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani