BUWASA YAENDELEZA UTEKELEZAJI WA KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI

Na Abdullatif Yunus Michuzi TVMAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Bukoba - BUWASA wanaendelea kutekeleza kwa vitendo adhma ya Serikali ya Kumtua Mama ndoo kichwani, kwa kuendelea kusogeza huduma ya Maji safi karibu na Wananchi waishio Manispaa ya Bukoba, baada ya kuzindua Vilula viwili vya Maji katika mtaa wa Kisindi Kata Kashai.
Uzinduzi wa Vilula hivyo venye thamani ya shilingi Bilioni 2.4 ikiwa ni mwendelezo wa usambazaji wa mtandao wa Maji katika maeneo ya Kata Nne zilizosalia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
DAWASCO YAZINDUA RASMI KAMPENI YA “MAMA TUA NDOA KICHWANI”

Akizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni hiyo, Afisa mtendaji mkuu wa Dawaso, Mhandisi...
10 years ago
GPL
SKENDO! MAMA AJIFUNGUA, MANESI WADAIWA KUMTUMBUKIZA MTOTO KWENYE NDOO
9 years ago
Michuzi
Chanzo cha maji cha Ruvu Chini kuwatua akina mama ndoo za maji



BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
5 years ago
MichuziRC PWANI AKABIDHIWA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM KUTOKA KWA MAMA SALMA KIKWETE
Mke wa Rais wa awamu ya nne Mama Salma Kikwete ambaye pia alikuwa Mbunge wa kuteuliwa kupitia Mkoa wa Pwani na Lindi amesema ataendelea kushirikiana bega kwa bega na serikali katika miradi mbali mbali ya maendeleo ikiwemo ile ya kimikakati pamoja na kuzitafutia ufumbuzi wa kudumu changamoto ambazo zimekuwa zikiwakabili wananchi.
Kauli hiyo ameitoa wakati wa halfa fupi ya kukabidhi taarifa mbili za utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha mapinduzi (CCM)...
11 years ago
Tanzania Daima19 Mar
RC Massawe aipigania BUWASA
MKUU wa Mkoa wa Kagera (RC), Kanali mstaafu Fabian Massawe, amezicharukia taasisi, makampuni na watu binafsi wanaoshindwa kulipa bili za maji katika Mamlaka ya Majisafi na Majitaka ya Manispaa ya...
5 years ago
Michuzi
BUWASA WAJENGA VIZIMBA VYA KUNAWIA MIKONO TAHADHARI YA CORONA.



5 years ago
Michuzi
BUWASA WAKABIDHI VIZIMBA VYA KUNAWIA MIKONO HOSPTALI YA RUFAA BUKOBA.
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Bukoba (BUWASA), Wameendelea kurudisha fadhila kwa wateja wao na jamii kwa ujumla kwa kujenga Vizimba Vingine viwili vya kunawia mikono, ikiwa ni tahadhari ya kujikinga gonjwa la corona,na hivyo kufanya Idadi ya vizimba hivyo kufikia vitano vilivyojengwa ndani ya Manispaa ya Bukoba.
Akisoma Taarifa ya utelekezaji wa miradi hiyo, Mkurugenzi wa BUWASA Ndg. John Sirati amesema kuwa Mamlaka katika kuhakikisha jamii...
11 years ago
GPLMJAMZITO APIGWA RUNGU KICHWANI
11 years ago
BBCSwahili25 Mar
Risasi lilimuingia kichwani Mombasa