Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC PWANI AKABIDHIWA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM KUTOKA KWA MAMA SALMA KIKWETE

VICTOR MASANGU, PWANI..

Mke wa Rais wa awamu ya nne Mama Salma Kikwete ambaye pia alikuwa Mbunge wa kuteuliwa kupitia Mkoa wa Pwani na Lindi amesema ataendelea kushirikiana bega kwa bega na serikali katika miradi mbali mbali ya maendeleo ikiwemo ile ya kimikakati pamoja na kuzitafutia ufumbuzi wa kudumu changamoto ambazo zimekuwa zikiwakabili wananchi.

Kauli hiyo ameitoa wakati wa halfa fupi ya kukabidhi taarifa mbili za utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha mapinduzi (CCM)...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MTEMVU: CCM ITAUPUKUTISHA UPINZANI TEMEKE UCHAGUZI WA MITAA, SIYO KWA NGUVU ILA KWA MATUNDA YA UTEKELEZAJI ILANI

Mbunge wa Temeke, Abbas  Mtemvu akihutubia mkutano wa hadhara uliofabyika kwenye Uwanja wa shule ya Sokoine, Temeke jijini Dar es Salaam, jana, Agosti 30, 2014.Mtemvu akishangiliwa wakati akihutubia mkutano huo wa hadharaMbunge wa Temeke Abbas Mtemvu akimpa kadi ya Uanachama wa UWT Maridha Rajabu wakati wa mkutano huo, wanachama wapya 45 wa jumuia hiyo walipewa kadiMbunge wa temeke,  Mtemvu akimtuza msanii Omari Tego baada ya kukunwa na msanii huo kwa kuimba wimbo maalum wa CCM wakati wa...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA RASMI UPIMAJI WA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI KWA AKINA MAMA HAPA NCHINI.

 Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Mama Salma Kikwete akizindua rasmi upimaji wa saratani ya  mlango wa kizazi wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani katika sherehe iliyofanyika katika uwanja wa Nyamagana huko Mwanza  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete mara baada ya kuzindua rasmi upimaji wa saratani ya mlango wa kizazi aliwakabidhi Waganga wakuu wa mikoa ya Mwanza, Iringa, Mbeya na Mara vifaa  vya kupima saratani hiyo. Pichani Mama Salma Kikwete...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AKABIDHI MASHINE YA KUPIMIA SARATANI YA MATITI KWA AKINA MAMA HOSPITALI KUU YA JESHI LUGALO

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akikabidhi mashine ya kupimia saratani ya matiti kwa akina mama kwa uongozi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kulia). Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika kwenye Hospitani Kuu ya Jeshi Lugalo kwenye Kitengo cha Uzazi na Mtoto kilichoko Mwenge tarehe 27.2.2015. Aliyesimama pembeni kwa Mama Salma ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando na aliyesimama kulia kwa...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MKUTANO WA ELIMU NA AFYA KWA VIJANA DUNIANI ULIOANDALIWA NA TAASISI YA MAMA SARAH BROWN

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mama Sarah Brown, Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza na Mwenyekiti Mtendaji wa Global Business Coalition for Education muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa ‘Getting Serious About Results: The Grand Convergence of Education and Health” ulioandaliwa na Taasisi ya Mama Sarah Brown kwa kushirikiana na Umoja wa Mataifa. Mkutano huo umefanyika huko New York tarehe 23.9.2014.Mke wa Rais...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani