MJAMZITO APIGWA RUNGU KICHWANI
Martha Laurent akiwa hospitali baada ya kupigwa rungu kichwani na mumewe Jumanne Suyi. Stori: Makongoro Oging’ “ILIKUWA siku ya mkesha wa mwaka mpya nikiwa nyumbani Mwembe Yanga, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, mume wangu alifika huku akiwa anapiga kelele na nilipomuuliza akanieleza kuwa leo ndiyo mwisho wangu kwani mimi ni mbwa. Majeraha aliyoyapata kichwani. “Nilimweleza kuwa sitaki fujo pia…...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-YaOfrKdI_fM/VVXJORsI0RI/AAAAAAAAFkU/ZUK0HqK5Uc0/s72-c/1.jpg)
Mchungaji Gwajima Avamiwa.....Apigwa Panga Kichwani na Kulazwa ICU
![](http://2.bp.blogspot.com/-YaOfrKdI_fM/VVXJORsI0RI/AAAAAAAAFkU/ZUK0HqK5Uc0/s640/1.jpg)
MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima jijini Mwanza, Samson Gwajima na Ofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Amin Neigwa, wamevamiwa na majambazi ambao wamewajeruhi vibaya kwa kuwakata mapanga vichwani.Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia jana katika Mtaa wa Lyila, Kata ya Buhongwa, Wilaya ya Nyamagana, jijini Mwanza.Akizungumza kwa taabu na mwandishi wetu akiwa wodini kwenye Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC), alikolazwa kwa matibabu, Neigwa, alisema akiwa...
11 years ago
Mwananchi21 Jun
MAKALA: Ukatili mjamzito apigwa na kufungiwa ndani
11 years ago
BBCSwahili25 Mar
Risasi lilimuingia kichwani Mombasa
11 years ago
BBCSwahili01 Apr
Mtoto Satrine aondolewa risasi kichwani
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOTW6a5PmQTUNhkb58jfPA1deytTPAqPk7VUF-zVPT7aSCrVyqXS69DZrx3c2VvtzwOFFyIB9dR0MyeFkBl0o8MJh7zX2uAL/diamond.jpg?width=650)
ZARI ADAIWA KUMPANDA KICHWANI DIAMOND
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Mrembo anapoporwa wigi likiwa kichwani mwake!
WAHENGA walisema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, hivyo ndivyo nilivyojikuta mimi pamoja na watu wengine tukiwashangaa watu wawili kwa wakati mmoja kutokana na kitendo alichokifanya kijana aliyekuwa na sifa...
11 years ago
Habarileo03 Mar
Amuua mwanawe kwa kumpiga nyundo kichwani
MCHINJA nguruwe katika Kitongoji cha Sokoni Mji mdogo wa Sirari, Tarime Ezekiel Magige (39) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime baada ya kupigwa mawe na wananchi wenye hasira kali.
10 years ago
Habarileo30 Jul
Ndugai ampiga mpinzani wake fimbo kichwani
MCHAKATO wa kura za maoni ya Ubunge katika Jimbo la Kongwa, juzi uliingia dosari baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai anayeomba ridhaa ya kutetea ubunge wake kudaiwa kumpiga hadi kuzirai mgombea mwenzake.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/640cdJ4qjLQali9drJvOS2jshJ1UvcH0pF3MtvS7rLGtSlxF7tGemGWjobaEqpMAf2xaquu50AhdjCcj5vHeT30QPILeqa51/Happy.jpg?width=650)
MUME AMUUA MKEWE KWA KUMPIGA MISUMARI KICHWANI