MAKALA: Ukatili mjamzito apigwa na kufungiwa ndani
>Ni jambo la kawaida kuwaona wanaume wilayani Serengeti wakiongozana na wake ama watoto wao siku za minada, kwenda kuuza mifugo ili wanunue mahitaji yao, lakini mapato hudhibitiwa na wanaume.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMJAMZITO APIGWA RUNGU KICHWANI
11 years ago
Mwananchi01 Mar
UKATILI: Mke mjamzito akatwa mguu, amwagiwa tindikali
5 years ago
BBCSwahili31 Mar
Coronavirus: Kufungiwa ndani na anayeninyanyasa
9 years ago
StarTV22 Dec
Kufungiwa Ndani Ya Ofisi Mwenyekiti wa CCM Iringa adai ni chuki binafsi
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu amedai kuwa hatua ya viongozi wa chama hicho kufungiwa ndani ya ofisi kwa zaidi ya saa nne iliyofanywa na kundi la Umoja wa Vijana UVCCM ni mbinu chafu zilizopangwa dhidi yake.
Uhai wa makundi ya kura za maoni na chuki binafsi vinatajwa kuwa ndiyo kiini cha maneno, vijembe na kuibuka kwa tukio hilo la kufungiwa ambalo pia limemhusisha mkuu wa mkoa aliyekuwa katika kikao cha kamati ya siasa Mkoa.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa...
10 years ago
GPL
UKATILI ULIOJE! WAZAZI WAMPIGA, WAMFUNGA KAMBA MTOTO WAO, WAMFUNGIA NDANI
10 years ago
Michuzi
Benki ya Exim yaadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kwa kupinga ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani.

Wakati wa shughuli hiyo wafanyakazi wa kike wa benki hiyo walitoa wito kwa wanawake nchini kutumia maadhimisho ya mwaka huu kutokomeza ukatili dhidi ya wafanyakazi wa ndani. ...
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Schweinsteiger kufungiwa Mechi 3.
10 years ago
Mwananchi27 Jan
EU yalaani kufungiwa The EastAfrican
9 years ago
Bongo508 Dec
Bastian Schweinsteiger kufungiwa na FA

Kiungo wa Manchester United, Mjerumani Bastian Schweinsteiger 31, anakabiliwa na adhabu ya kufungiwa mechi tatu na chama cha soka England (FA) kutokana na kitendo chake cha kumpiga kiwiko mlinzi wa Westham United, Winston Reid katika mchezo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana Jumamosi iliyopita.
Schweinsteiger anatakiwa hadi Alhamis hii, saa sita mchana kukubali au kukataa kosa hilo baada ya FA kumuadhibu Jumatatu hii.
Chama cha waamuzi kupitia video wamebaini kosa hilo la Bastian...